Kituo cha kwa Manyanya Kinondoni

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Wadau
Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya diwani wao aitwae tarimba CCM na cha kusikitisha zaidi ni polisi kupita kila siku wakielekea mahakama ya kinondoni, mateja wameshawazoea hata hawakimbii wakiwaona

Nawasilisha
 
Hapo Manyanya ndo pale pamejaa vibaka mpaka wakikosa cha kukuibia wanakubeba hata wewe mwenyewe
 
Hapo Manyanya ndo pale pamejaa vibaka mpaka wakikosa cha kukuibia wanakubeba hata wewe mwenyewe

mkuu ujakosea ndio hapo hapo jana mvua ilikuwa inanyesha hakuna mtu aliye kubali kusimama kwenye hicho kituo wakikukaba ukileta ubisha wanakuchoma sindano yenye damu ya ukimwi
 
hiyo ndo polisi jamii. Usishangae ukiambiwa ni soko la madawa la kiongoz wako. Ukiwa na faida kwa vigogo unalindwa! Wanalindwa hao.
 
Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya diwani wao aitwae tarimba CCM na cha kusikitisha zaidi ni polisi kupita kila siku wakielekea mahakama ya kinondoni, mateja wameshawazoea hata hawakimbii wakiwaona

Ni kweli ni nakijua fika ni pale manyanya kituoni kabisa ukiwa unatokea makaburini alikozikwa kanumba kupitia kinondoni road . yaani wanavuta unga mchana kweupeee! hata hawaogopi mtu utafikiri wapo chumbani.
 
Naweza kuwambia kwa uhakika kabisa..Dar es salaam sio salama iwe mchana au usiku wala sio hapo tu..nchi hii ina shda sana ya uasalama huu ni udhaifu ule ule
 
Back
Top Bottom