Kitumbua kimeingia mchanga

Inategemea.Angalia shughuli zake kama zimechange sana kiasi cha kumfanya kupunguza baadhi ya vitu.bt sio kupungua kiasi cha uliyoyaandika.unless otherwise Tafuta pa kutokea
 
khakhaaaa unamasnisha nini unaposema atafute pa kutokea???
 
Inategemea.Angalia shughuli zake kama zimechange sana kiasi cha kumfanya kupunguza baadhi ya vitu.bt sio kupungua kiasi cha uliyoyaandika.unless otherwise Tafuta pa kutokea

hata kama ndo umsahau mpz wako kiasi hiko hata wewe lazima upate wasiwasi
 
Mapenzi cku zote huwa na stage...big expectations kwa watu wengi ndio zinatucost....you know mnaweza kuwa mnapendana yes But Huwa inafikia wakati mnazoeana na ndio vitu kama hivyo vinapoanza kujitokeza....

Mapenzi ni more than i love you,i love you too....Love is friendship...msipokuwa marafiki vitu ka hivyo kutokea ni obvious
 
Back
Top Bottom