Kitumbua kimeingia mchanga

NSWECKY

Senior Member
Feb 22, 2013
140
214
Habari za mchana wadau

Moja kwa moja niende pointini, Hivi kunakuwa na nini kinachofanya mpenzi wako wa karibu akasitisha au kubadili style fulani ya maisha ambayo alikuzoesha?

Kwa mfano zamani mlikuwa mkiwasiliana 24/7 either kwa kuchat kwa sms au kuongea lakini nowadays hola. zamani simu kutwa mlichaji hata mara 5 nowadays unachaji mara 1 tu na chaji haiishi.

Zamani mlijiunga cheka zogo ya dakika 90 hata mara 4 mkaongea mpaka saa 7 usiku nowadays hata ya 250 zile dk 8 mpaka zinaexpire, maneno yote matamu uliambiwa sasaivi hata I love u unaisikia kwa jirani au mpaka umwambie ndio aitikie I love u too.

Zamani phone sex kila siku saivi mpaka ushasahau.

Zaman kila alichokua anafanya aliku-update saivi mpaka umuulize unafanya nini mbona kimya?

Seriously it hurts kwakwel na kukufanya udoubt japo huujui ukweli but automatic mazingira yatakupelekea kweny kuwaza kinegative zaidi.

Kama umemchoka just tell him/ her so that can know where to stand.

And if not why so?
 
sijajua unataka nini?au hadi umuone kabisa dume mpya anayemchukua? ngoja niku dedicate hili song,simply you ara fool again
 
Last edited by a moderator:
huu ujinga wa kubadilikiana njian mwa mahusiano unaleta stress na msongo mkubwa wa Mawazo ile mbaya kuliko hata kibuti.
 
Hayo yalikuwa mapenzi ya kitoto ukikua unaacha. Hata mi nilikuwa na tabia hyo nikagundua ni upuuzi na kupoteza mda

kama mnapendanana mnapendana tu.. Haipimwi kwa i love yu za kila mara au mesage za mda wote
 
sababu ni nyingi sana
  1. amekuzoea yaani huna tena jipya
  2. amekuchoka
  3. hujishughulishi, unasubiri sana aanzishe yeye maongezi
  4. ana stress nyingine mfano, hana pesa/ajira/mtu kamzingua/
  5. umepaniki tu
  6. amepata mwingine.
 
ni maamuzi tu, ka amechoka afanyaje!? ukiona hivyo ni mara mia ukaadapt kuliko kujifanya unamrudisha kwenye mstari, maana utaumia mara mbili zaidi...
 
Show your true colour from the beginning...hutapata majanga ya hivyo. the problem we have ni kwamba huwa tunapretend sana mwanzoni ambapo baada ya muda hizo acting zikiisha ndo mawazo kama hayo huanza.
 
huu ujinga wa kubadilikiana njian mwa mahusiano unaleta stress na msongo mkubwa wa Mawazo ile mbaya kuliko hata kibuti.

bora angekupiga kibuti ujue what next...au ndo kibuti with no notification???
 
ni maamuzi tu, ka amechoka afanyaje!? ukiona hivyo ni mara mia ukaadapt kuliko kujifanya unamrudisha kwenye mstari, maana utaumia mara mbili zaidi...

aweke mambo wazi mana truth will set u free ....
 
Hayo yalikuwa mapenzi ya kitoto ukikua unaacha. Hata mi nilikuwa na tabia hyo nikagundua ni upuuzi na kupoteza mda

kama mnapendanana mnapendana tu.. Haipimwi kwa i love yu za kila mara au mesage za mda wote

okay huo nao ni mtazamo wako...thanks !
 
sijajua unataka nini?au hadi umuone kabisa dume mpya anayemchukua? ngoja niku dedicate hili song,simply you ara fool again

nachotaka aniweke wazi nijue mana naweza poteza oppoturnities kibao kwa sababu yake mwisho wa siku inakua too late ...
 
Last edited by a moderator:
sababu ni nyingi sana
  1. amekuzoea yaani huna tena jipya
  2. amekuchoka
  3. hujishughulishi, unasubiri sana aanzishe yeye maongezi
  4. ana stress nyingine mfano, hana pesa/ajira/mtu kamzingua/
  5. umepaniki tu
  6. amepata mwingine.

hurt me for the truth but never comfort me with lies...
 
Back
Top Bottom