Udt Sangatit Member Sep 24, 2012 53 9 Sep 29, 2012 #1 hivi asubuh mi nikiamka nafikiriaga pesa kama kitu ya kwanza,, nanyi wenzangu mwawazaga nini?
Facilitator JF-Expert Member Oct 30, 2010 2,280 1,763 Sep 29, 2012 #2 Nasali kwanza, mengine ndo hufuata
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,417 Sep 29, 2012 #3 mie namfikiria baba mwenye nyumba na kodi yake.............
georgeallen JF-Expert Member Jun 3, 2011 4,118 1,870 Sep 29, 2012 #4 2015 itafika lini ili huyu kiazi aondoke
Arabela JF-Expert Member Jul 24, 2012 3,127 2,227 Sep 29, 2012 #6 Najiangalia kama kunamabadiliko mwilini
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,780 Sep 29, 2012 #8 asigwa said: mie namfikiria baba mwenye nyuma na kodi yake............. Click to expand... "Baba mwenye nyuma!" we Mende au Mukaka ? Unataka kum'mega huyo Baba au ?
asigwa said: mie namfikiria baba mwenye nyuma na kodi yake............. Click to expand... "Baba mwenye nyuma!" we Mende au Mukaka ? Unataka kum'mega huyo Baba au ?
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,257 12,877 Sep 29, 2012 #9 mh,me huwa nafikiria familia itakula nini?