Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
527
1,045
Natamani kujua,
Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara,
Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali..
Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi MAMA YETU,
hajui kama mshahara unaingia kwa mafungu mafungu...


"Kufika nchi ya ahadi...bado mbali sanaa!"
🎹🎹
 
Kuajiriwa bongo ni upuuzi.
Kama una akili zako timamu tafuta mianya yako ya kujiajiri na upige kazi.
 
Wake wenza mbali sana,,
Zimelipia vacation za watoto wa wakuu wakale kismas
Nchi hii ina uchafu mwingi sana, anahitajika mtu kichaa kichaa ila atakayefuata sheria za nchi kuirekebisha. Na hilo linawezekana.

Viongozi wa sasa wanawachukulia watanzania kama mazuzu vile kwakuwa wanajua hakuna la kuwafanya.
 
Back
Top Bottom