Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,412
- 26,896
Mapenzi ya kitoto.. Mchane ajielewe
Huyo ni msanii tu wa bongo muvi, hana mapenzi nawe.....anataka tu kukuharibia. Pig dochi tena fasta.
Mapenzi ya kitoto.. Mchane ajielewe
Hahaha hadi pesa kwa wik inahitajika?unampaga sh ngapi kwa week?
Ahsante kwa utabiriWewe bado ni mvulana, na huyo unae muita mpenzi wako bado ni msichana.
Nime conclude kwamba, bado hamja komaa na mna mapenzi ya kitoto
Baangi nilitumiaga kitambo sanaUkivuta bangi itakupa akili ya kikubwa
Jaribu sasa
Hello unaeamka na thread yangu,naomba ushauri juu ya huyu mwanamke,anaweza asinitafute hata kwa mwezi mzima na ukimtafuta yeye anakujibu majibu ya mkato,mfano unaanza "habar za hasubui" anakujibu "p" na mwendo unakua huohuo wa kifupi tu ,
sasa siku moja nilimchezea mchezo wa kumtambulisha kwa mwanamke mwingine as my woman kilichonishangaza alipaniki nusu atwangane na yule pretender nilie mweka as trap kwa madai aachane na mpenzi wake anampenda sana ambae ni mimi sasa najiuliza ni ananipenda au anaigiza? emu nisaidieni kwenye hili.
unampaga sh ngapi kwa week?
inaweza kuwa kweliHakupendi,anaigiza tu