Kitu gani kinamsumbua huyu mwanamke?

hahahah mbona wote mnamwona jamaa mvulana wakuu, what is wrong kweny post yake?
 
Hello unaeamka na thread yangu,naomba ushauri juu ya huyu mwanamke,anaweza asinitafute hata kwa mwezi mzima na ukimtafuta yeye anakujibu majibu ya mkato,mfano unaanza "habar za hasubui" anakujibu "p" na mwendo unakua huohuo wa kifupi tu ,
sasa siku moja nilimchezea mchezo wa kumtambulisha kwa mwanamke mwingine as my woman kilichonishangaza alipaniki nusu atwangane na yule pretender nilie mweka as trap kwa madai aachane na mpenzi wake anampenda sana ambae ni mimi sasa najiuliza ni ananipenda au anaigiza? emu nisaidieni kwenye hili.

Utoto unawasumbua...mkikua mtaacha
 
Back
Top Bottom