Exactly ,unamjua nini?Hahah..kwamba ni Tall, dark, handsome, God fearing and financial stable person.
Aisee uwe unanipushia na mm hyo mikeka...Nachana sana mikeka.Ananipa sure odds kwenye mikeka yangu…Anabet balaaa
Ukaamua na wew umlipe upendo wa dhati.Wembamba wake
Upole wake
Tabia njema
Alinipenda mimi kwa dhati ya moyo kabisa.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nakubali...Mambo ya Dudu baya Nakupenda tu matege ya ndani nakupenda tuWangu ana matege yale ya ndani so akitembea anakuwa kama miss yupo kwenye stage so kiufupi naufeel sana ule mwendo japo yeye mwenyewe haupendi hata kidogo ndo hvyo hana namna tena .
Hahah..hapana sema nina karama ya unabii flani hivi kwa mbaliExactly ,unamjua nini?
Njaa mbaya sana
Mpaka kifo kitutenganisheMtaachana tu😀
Mtaachana tu
Lazima tuende,amapiano utachezeshwa.Na uzee huu nitaweza kweli kucheza Amapiano Mjukuu, miguu yenyewe haina nguvu
Ukutakiwa ku fall in love na pesa zake pesa alizokuwa anakupa nikukuonyesha upendo wake kwake Sasa wewe ukaangalia pesa ukasahau hizi pesa zinatoka kwa Nani ,NDIO MAANA SIWAPAGI ELA WANAWAKE ATA BUKU YA VOCHA KUTOKANA NA MAONI YENU MNAYOANDIKA HUMUKuna huyo mmoja alinitangulizia hela
Yani akaacha pesa iongee… na mie bila hiyana, nikafall in love na hela zake.
Upo siriazi sana.Wanasema kwenye mapenzi mtu akikupenda na akaulizwa SWALI wanasema sijui Nini Nini!!!!BUT ALL IN ALL IS TRUE SELF OF SOMEONE ESPECIALLY REALITY ,KUNA MDADA MMOJA HUMU AMECOMMENT MWANAUME KAMPENDEA ELA THATS TOO BAD NINGEKUWA NAJUA NI MWANAMKE WANGU AU MKE WANGU FASTA NISHAMFUKUZA ALL IN ALL MONEY CAN'T BUY LOVE BUT IT CAN GIVE YOU HAPPINESS
Utraamu unavyonizidia hata kukata mauno nakumbuka basi!! Jamaa anakamia show huyooo!!!!
Na mimi wala sijichoshi, nanena kwa lugha tu
Me too najuta kwa Nini nilichelewa kukujua my cute wifeUhakika
Yaani najuta kwann nilichelewa kukutana nae
wacha weeeAna mapenzi moto moto utasema anatokea Tanga……..kumbe kibaka tu wa hapo Arusha
Ukocheat jiandae, huwa hakunaga msamaha kwa mwanamke anayecheatkabisaa pamoja na uchizi wake wote kitu uongo ndio hakijui na mwepesi wa kuomba msamaha akikosea, hata km alicheat
Sijajua sasa na mimi nikicheat atakuwa mwepesi wa kusamehe
Ubishi na ujuaji
Sema jamaa angu ni mkweli hata akijitahidi kudanganya anashindwa, anajikuta ananasa kwenye mtego alioutega mwenyewe