Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,793
- 1,081,865
Asante mjukuu...
Lazima ufike kwenye mnuso June 2024 kama mambo yatakwenda sawa. Tuombe uzima 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Asante mjukuu...
Usiniambie Babu,niambie mapema nijipange wallah si ya kukosa.Asante mjukuu...
Lazima ufike kwenye mnuso June 2024 kama mambo yatakwenda sawa. Tuombe uzima
Utakosaje sasa mjukuu?Usiniambie Babu,niambie mapema nijipange wallah si ya kukosa.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ok achana na hiloYaani bhasi tu tuachane na ilo ....
Babu naamini maombi yamejibiwa,iwe kheri,Utakosaje sasa mjukuu?
Naweka ndani ka kufa nako sasa hata iweje. Nitakutonya na rukhsa kazini nitakuombea mjukuu.
Na itakubidi pengine uje na babu yako wa mchongo
Anasambaza burudaniunipeleke ili tumfunge kuchepuka kwanza, maana anasambaza burudani wala sio shida zake
Na haitakiwi kabisa uzitake..siku ukijichanganya ukaonyesha tuu dalili ya kuzitaka pesa zake hakika umeumia...She was my friend for 2 years
Mwanzo nilipenda Chura wake. Nikajiapia huyu lazima nimtafune ipo siku.
2020 after my birthday nikaanza utaniutani kumchokoza, (sikuwahi kumtongoza). Utani romantic including kuitana romantic names.
Utani ukawa mwingi lakini pia nikawa namjali sana. After 3 month ikawa serious.
Forth month nikafanikiwa kumla.
Tukaja tukapitia kigumu sana. Nilitengeneza mtego wa kumuacha. Actually nilitengeneza sinema ambayo at the end of the day yeye alijiona kama mkosaji ila kichwani mwake alikuwa anawaza kwamba kuna kamzunguka.
Nikambana angle fulani hivi halafu nikampotezea.
After 3 weeks akaanza kunisumbua kwamba she need tuonane tuongee(Tulikuwa mikoa tofauti).
Nikamzungusha two good months. Baada ya hapo ndio tukaja tukayajenga. Tukaendelea na uhusiano wetu.
Its two years now soon tutatambulishana kwa wazazi.
She is a complete package.
Ana huruma, anajali, n.k.
The moment tunakutana hakuwa na pesa na nilijitahidi kushow up kwenyw baadhi ya ishu zake.
Kwa sasa hata nikiwa na shida ya 2m atashow up faster sana. Japo sizitaki pesa zake.
Kama ana mdogo wake na yupo smart na mtakaUwezo wake tu wakunifanya niwe na kiu ya mafanikio na kuweka malengo ya mda mrefu na mfupi na kusave hela nazompa mwisho wa siku na kutimiza malengo hilo tu lilinifanya ni mpende fikiria unaishi naye miezi 6 na kila siku una mwachia hela ya matumizi elfu kumi anajitaid mnakula buk 4 mpk 5 mwisho wa siku anakuja kukuambi nimesave kiasi flan daah
Kumkuta bikra, hana njaa, mideko, msumbufu yaani kukupigia simu 10 kitu cha kawaida, mtulivu mnooooooooMoja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana heshima, yuko smart sana.
Lakini mtaani wenye sifa hizo wapo wengi, swali gumu kuelezea linabaki ni kipi hasa kimefanya umchague huyo na uache wengine wenye hizo sifa?
Vipi kwa upande wako mwana JF, kipi kilikufanya ukampenda sana?
Hahah..umem define with vivid example.Alikua hana hata sifa moja ya kupendwa na wanaume tako, rangi, nywele, hipsi, paja, vidole, miguu, sura, macho, shepu yani haeleweki na alikua akitengwa sana na kuchukiwa sana mpaka na wasichana wenzake na alikua mpweke sana na masikini mno. Wazazi na ndugu zake walimtelekeza
Nilimpendea hayo mazingira yake ya kuchukiwa na kutengwa sana, kijana wa watu nikasema acha niwe nae ili na yeye ajifeel ana haki kama mwanamke ila alikua hana mvuto wowote wala akili hana, alikua akitumia akili zangu na status yangu kuishi na jamii .
Mwisho wa siku alinipiga na kitu kizito sana kisicho vumilika, ila alikuja kujiita yeye ni shetani na sahivi ni single mama.
Sina huruma tena na mwanamke yeyote, ila nikija kuoa, mke wangu nitampenda na kumuhurumia japo sito muonyesha
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hahah..kwamba ni Tall, dark, handsome, God fearing and financial stable person.Ananishauri sana kuhusu maisha
Giant
Handsome
Anaakili kama anamiaka 40+ kumbe dogo tu
Na uzee huu nitaweza kweli kucheza Amapiano Mjukuu, miguu yenyewe haina nguvu 🤪Babu naamini maombi yamejibiwa,iwe kheri,
Mimi rukhsa ipo yaani,
Itabidi nije na ki Babu cha mchongo Grahams aje acheze amapiano.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Anasambaza burudani
hapo kwenye kunena kwa lugha
utaniua mbavuAcha tyuu unanena mpk lugha za mizimu
Basi atakua Azam tvkwa woteeeee