KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,291
Kama umwahi kuishi thailand na umejionea namna wanavyokula kitmoto ule gonga like hapa
kama thailand watasitisha ulaji wakitimoto kisa magonjwa hapo nami nitasema inabidi tuache kula kitimoto
aiseee nikama wanaluka nyama iliyobabuliwa
wanapenda sana ikichomwa so wanafanyaje hawa jamaa?
Inaktwa nyama ile ya mafuta mafuta kama kamba hivi zinatundikwa ama kuwekwa katika sinia
then mnakuwa mnakula katikati kuna oven ya mkaa imekolea hatari mtu anachukua kipande anakiweka pale kinakaa hhakizidi hata dakika mbili kinawekwa mdomoni kikiwa bado na mafuta yake aisee
sasa hapa kwetu unaambiwa hadi uchemshe sijui wadudu gani wafe ha ha ha ha ha
ninaloamini hizo video itakuwa lilikuwa shamba la mtu amefuga bahati mbaya ugonjwa ulivamia shamba lake so hakuwa na budi kuangamiza mifugo wote
na wenzetu hawana hasara maana mambo ya bima wanazingatia sana