Kitimoto chawashwa moto, vilio na mayowe ya kibinaadam...

Kwahiyo mnataka kutoana roho kisa nyama ya nguruwe ....wengine wanataka aliwe .wengine mnataka asiliwe "..haha mmekosa vya kujadili manina ....Sio bure akili zenu zitakuwa zimeingia mafuta ya taa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asiejua maana usimwambie maana.....FF Kwa kuwa hujui Kwa nini hiyo kaitwa mbuzi katoliki,mdudu,kitimoto(mengine wataongezea wadau) alafu ukute mtengenezaji ni mangi...nakwambia utaweka ushungi wako kwenye pochi kwanza wallahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina wanamchoma moto, ngojeni zamu yenu, cheza na maandiko wewe.
Mkuu hata kuku waliohalalishwa mara nyingi wakutwa na ugonjwa kama mafua ya ndege kisha wakateketezwa kama hao nguruwe.

Hapo hakuna jipya wala la ajabu.
 
Nyama pendwa na tamu sana hii
IMG_20181210_125003.jpeg


"Typed with my thumbs."
 
Hello Faiza Foxy: go back to YouTube ...see the comments and come back on ur thread for comparison...we all are animals but differentiated not for the pain we experience on death but on classes and cultural & natural factors that associate with us...

I can comment that: they have done a good job to safeguard our lives but in a non professional and recommendable way..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni muislamu, lkn sifurahii ukatili waliotendewa hao nguruwe maana hayo sio maanrisho ya mwenyezi MUNGU. Wangeliwachinja kwanza kisha wawazike au ndio wawachome moto. Mtume alitukayaza kabisa tusiwaue viumbe wa mwenyezi MUNGU kwa kuwachoma moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huwaga wanawachinja? Nasikia huwa wanapiga na gongo au nyundo ili kumdedisha kitu Moto,Sasa Kuna tofauti gani? Halafu hizo video sio waislam hao wanaofanya hiyo kazi,hao ni MAKAFIRI hawafanyi vitu kufuata mambo ya M/Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom