Kiti cha Presidaa kina nini?

duuuh masharti mengine magumu..je huwa anaenda nacho nje ya inji hii?..gharama ya kutunza hicho kiti tungeweza hata kuongeza megawati 1 kwenye gridi ya taifa..
 
Ina maana mnamaanisha ni kweli kiti cha rais ni kile kile na anasafiri nacho kila aendako ndani ya nchi?
Kama ni hivyo kwa nini basi Tz isiwe nchi ya kwanza duniani kuamini uchawi, kama inavyochukuliwa? Maana hapa kwetu vitendo hivi vya ushihiri vinaanzia ikulu kushuka mpaka ngazi ya shina.

.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom