Kitenge, Hando na Zembwela ni kama Zidane, Luis Figo na Ronaldo de Lima. Hakuna wa kuwagusa!

Yes Hando anakula sana tungi na ana kismati cha mademu. Zembwela anavuta sana bange. Ila Hando ni mmoja ya watangazaji very smart kuwai kutokea hapa bongo. Kwa kizazi cha sasa wakushindana nae ni Kipanya labda.
Madhaifu yao tuwaachie wao, kila mtu sna upande wa pili wa giza
 
Kwa makelele wanayopiga huwa mara moja moja nawasikiliza kwenye mwendo kasi tu, hakuna ubunifu ni kupayuka tu na mizaha isiyokua na tija, kuna jamaa mmoja yuko wasafi yule aliyewahi kufanya mahojiano na pole pole jamaa yuko smart sana kichwani na anaufahamu wa kutosha sema Genge analokaa nalo studio huwa linafifisha kipaji chake.
Nimependa sana hapo
"Ni kupayuma tu na mizaha isiyokua na tija"
 
Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane...
Hakuna kitu hapa,ni makelele tu,na comedy kibao,ishu wanazoongea ni bongo fleva,maisha ya wasanii,mabinti,na kuchambua mpira,hawana uwezo wa kudadavua vitu vizito kama tofauti ya global south na global north, vita ya Sudan,isues za Libya,Ukraine,geopolitical matters,

Wenye akili kubwa wapo Kenya,
 
Attachments

  • Screenshot_20230502-120640_2.jpg
    Screenshot_20230502-120640_2.jpg
    65.1 KB · Views: 6
Kwa makelele wanayopiga huwa mara moja moja nawasikiliza kwenye mwendo kasi tu, hakuna ubunifu ni kupayuka tu na mizaha isiyokua na tija, kuna jamaa mmoja yuko wasafi yule aliyewahi kufanya mahojiano na pole pole jamaa yuko smart sana kichwani na anaufahamu wa kutosha sema Genge analokaa nalo studio huwa linafifisha kipaji chake.
Anaitwa charz yule Jamaa anajua sema anafanya Kazi na wapumbavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom