Kitchen party

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,569
21,051
Juzi juzi niliona katika blog moja ya TZ kinamama wakichangamkia kununua picha walizopiga katika kitchen party (picha ambazo uuzwa kwa mfumo wa kutandaza chini baada ya shughuli kwisha) na ikaelezwa kuwa mbali na kumbukumbu, wanawake wananunua sana picha hizo kama ushahidi kwa waume/wapenzi wao kuwa walikuwa kwenye kitchen party na si vinginevyo

Swali linakuja je kwa nini wanandoa wanaume wanakuwa na wasiwasi sana pindi mtu anapoaga anaenda kitchen party? na jeje wewe mwanaJF unaruhusiwa au unamruhusu mpenzi wako kuudhuria kitchen party bila wasiwasi? naomba maoni yenu tafadhali
 
Du hili swali kwenye signatory yako :confused2:

Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?
 
Juzi juzi niliona katika blog moja ya TZ kinamama wakichangamkia kununua picha walizopiga katika kitchen party (picha ambazo uuzwa kwa mfumo wa kutandaza chini baada ya shughuli kwisha) na ikaelezwa kuwa mbali na kumbukumbu, wanawake wananunua sana picha hizo kama ushahidi kwa waume/wapenzi wao kuwa walikuwa kwenye kitchen party na si vinginevyo

Swali linakuja je kwa nini wanandoa wanaume wanakuwa na wasiwasi sana pindi mtu anapoaga anaenda kitchen party? na jeje wewe mwanaJF unaruhusiwa au unamruhusu mpenzi wako kuudhuria kitchen party bila wasiwasi? naomba maoni yenu tafadhali

Sidhani kama kuna tatizo kwa wife wangu kwenda kwenye kitchen party na huwa sina hofu yeyote anaponiaga kuwa anakwenda huko.
Kama mke sio mwaminifu, sio mwaminifu tu hata ukimzuia asiende huko na umruhusu aende msibani still anaweza akakutenda akiamua.
 
Wa kumegwa atamegwa tu! Hat ufanyaje! We kuwa mpole na umshukuru mungu kwa kuendelea kukupa uhai ukimwomba amwepushe mwenzio na mabaya yote!

Nduguyo mmoja alikuwa analinda sana mali zake yaani kibano mpka mwisho lakini kuna siku alilegeza masharti na bibie akapata mwanya wa kumtafuta jamaa yake wa long time.......kilichogomba ni lini na wapi watavunjia amri ya 6! Ikabuniwa mbinu kwamba bibi siku hiyo arudi home lakini kuanzia kesho yake usiku aanze kulalama kuwa tumbo lina mwuma na jamaa kwa kuwa si mkazi wa mbali sana atkuja jibanza dirishaniakisikia kutoka kwa bibie yeye atatangulia msalani....mambo ya choo cha nje; mchezo ukafanikiwa na ukaendelea kwa muda mrefu sana baadae mpaka walipokuja fumwa na mweye mume.....maana na jamaa alikuwa kaoa!

usisumbue kichwa hata kwa sekunde .............kumchunga mwanadamu mwenzio!:mad2:

kama roho yako nyepesi.............chapa lapa!
 
Back
Top Bottom