Kitambulisho cha taifa

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Je mtanzania mmenzangu umeshajiandikisha kupata kitambulisho cha taifa. usizembee kama ulivyozembea kupiga kura kisha sasa unalalamika tu.

kumbuka kitambulisho cha taifa sio siasa.
 
Muone mwenyekiti wako wa serikali ya mtaa yeye atamaliza kila kitu. infact anatakiwa kupita nyumba hadi nyumba kuchukua details ila kwa bahati mbaya wakazi wa dar na kwingine kwingi unaingia usiku na kutoka mapema. kwa urahisi andika majina tarehe mwaka na mwezi wa wote walioko ndani kwako mpatie unakuwa umemaliza mchezo.
 
Mbona hawapigi wala kudai picha? Kitambulisho gani hicho kitakuwa bila picha wala sahihi?
 
hii hatua kwanza bado process inaendelea na sio picha tu bali finger print
 
Back
Top Bottom