Kitakachomwangusha Rais Magufuli 2020 ni hali ya uchumi. Mwambieni ukweli

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,440
Binafsi naona watu wanazunguka zunguka sana, ila Rafiki wa kweli ni Yule akwambiayae ukweli ili ujirekebishe na ujiokoe. Kuna watu wamemzunguka JPM wakijifanya marafiki na Wapambe, lakini cha ajabu hawataki kumwambia ukweli. Aidha kwa kumuogopa au kwa unafiki. Kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Pamoja na Mapungufu mengi yaliyoonekana ktk awamu hii ya JPM, Yakiwemo Masuala ya uvunjivu wa haki za Binadamu pamoja na Utawala wa kutokuzingatia katiba, bado kuna Jambo kubwa sana Ambalo Ndilo litakalomfanya JPM aanguke na kupotea kabisa ktk medani za siasa 2020

Suala la Wananchi kutokuwa na Fedha mifukoni na Suala la kutokuwepo kabisa kwa mzunguko wa pesa Mitaani ni hatari kuliko Hatari zote zinazomkabili.Sasa hivi Watanzania ni Masikini sana, hakuna hata biashara moja inayokwenda vizuri. Kama kuna namna yoyote ya dharura ya kulitatua hili tatizo ni bora akashauriwa na akubali kubadili muelekeo soon as he can, muda uliobaki ni mchache sana.

Ni kweli kila Mtu anajua kuna miradi mikubwa inaendelea. Lakini haikuwa sababu ya kufanya hali ya uchumi iwe mbaya kiasi hiki kwa Sababu pesa zinazotumika ktk miradi hii ni za mikopo, na hili halina ubishi. Watu wanajiuliza bila kupata majibu, JPM amedhibiti kila mahali, hakuna tena wafanyakazi hewa wanafunzi hewa wala Rushwa wamepotea na Serikali inakusanya zaidi ya Serikali ya Kikwete , Swali. Pesa Zinakwenda wapi?

Hii miradi ya Umeme na Reli manufaa yake yatapatikana baada ya miaka 10 au na zaidi, Swali je watu wavumilie hali kwa Zaidi ya miaka 10?

Kwa hali ilivyo kwa sasa ni Vigumu sana Kuwashawishi Watanzania waendelee na JPM . Ndiyo Maana mtu Kama Bernard Membe akiongea kidogo tu, Watu wanalipuka. Sasa hivi Watanzania wanatafuta mbadala wa JPM kwa njia yoyote. Wanachotaka ni maisha Yao yafufuke

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Ameshasema ninyi watumishi umma ndio mnakimbiza Wawekezaji, Yeye hahusiki na hilo tatizo la uchumi.
 
Hivi katiba ya ccm si ilibadilishwa? Ili kusiwepo na kura za maoni ngazi ya mgombea uraisi, ili apite bila kupingwa au mimi ndio nimechanganya madesa??
 
Watanzania kwa sasa wamekata tamaa. Yeyote atakayewaahidi kubadili hali hii lazima watamsapoti. Trump pamoja na kuchukiwa kooote lakini kuna Suala la uchumi Amefanikiwa kulisimamia vema na Ameongeza Ajira nyingi.
 
Msichojua ni kuwa suala la uchumi linawagusa nyie wakubwa na mabepari ambao 90% siku ya kupiga kura mbalala baada ya kuamka na hangover na dharau ya kwenda kupanga foleni. Sie ambao kwa sasa tunafanya biashara bila usumbufu tukiwa na id shingoni, tumepunguziwa ushuru wa mazao, tunapata huduma bila rushwa ofisi za serikali tunaendelea na maisha ya kawaida tena tunafurahia.
 
Ushindi wa Tz unategemea tume ya uchaguzi. Wanq uhakikia wa kutangazwa washindi
Binafsi naona watu wanazunguka zunguka sana, ila Rafiki wa kweli ni Yule akwambiayae ukweli ili ujirekebishe na ujiokoe. Kuna watu wamemzunguka JPM wakijifanya marafiki na Wapambe, lakini cha ajabu hawataki kumwambia ukweli. Aidha kwa kumuogopa au kwa unafiki. Kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Pamoja na Mapungufu mengi yaliyoonekana ktk awamu hii ya JPM, Yakiwemo Masuala ya uvunjivu wa haki za Binadamu pamoja na Utawala wa kutokuzingatia katiba, bado kuna Jambo kubwa sana Ambalo Ndilo litakalomfanya JPM aanguke na kupotea kabisa ktk medani za siasa 2020

Suala la Wananchi kutokuwa na Fedha mifukoni na Suala la kutokuwepo kabisa kwa mzunguko wa pesa Mitaani ni hatari kuliko Hatari zote zinazomkabili.Sasa hivi Watanzania ni Masikini sana, hakuna hata biashara moja inayokwenda vizuri. Kama kuna namna yoyote ya dharura ya kulitatua hili tatizo ni bora akashauriwa na akubali kubadili muelekeo soon as he can, muda uliobaki ni mchache sana.

Ni kweli kila Mtu anajua kuna miradi mikubwa inaendelea. Lakini haikuwa sababu ya kufanya hali ya uchumi iwe mbaya kiasi hiki kwa Sababu pesa zinazotumika ktk miradi hii ni za mikopo, na hili halina ubishi. Watu wanajiuliza bila kupata majibu, JPM amedhibiti kila mahali, hakuna tena wafanyakazi hewa wanafunzi hewa wala Rushwa wamepotea na Serikali inakusanya zaidi ya Serikali ya Kikwete , Swali. Pesa Zinakwenda wapi?

Hii miradi ya Umeme na Reli manufaa yake yatapatikana baada ya miaka 10 au na zaidi, Swali je watu wavumilie hali kwa Zaidi ya miaka 10?

Kwa hali ilivyo kwa sasa ni Vigumu sana Kuwashawishi Watanzania waendelee na JPM . Ndiyo Maana mtu Kama Bernard Membe akiongea kidogo tu, Watu wanalipuka. Sasa hivi Watanzania wanatafuta mbadala wa JPM kwa njia yoyote. Wanachotaka ni maisha Yao yafufuke

Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Duuuh kwa mawazo haya tuna Nazi kweli

Ni wewe na mafusadi wezako, ndio msiokuwa na pesa. Mlizoa sana pesa za kupeleka risiti za magumashi jioni pesa. Hizo my frnd azipo
 
Back
Top Bottom