Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,498
- 10,543
Inawezekana kweli? Labda kama hakuwa na mahusiano mazuri na wao alipozamia huko.
Inawezekana kweli? Labda kama hakuwa na mahusiano mazuri na wao alipozamia huko.
Utakuwa uko vizuri sana Kuzifahamu hizi codes, sikuhisi kwamba yale majina tafsiri yake Ndio Hii.Tufanye kazi kwa bidii,tuachane na haya.
Yangekuwa yanatuhusu tungeandikiwa kwa lugha tunayoelewa. Hao heads of recruiting, logistics na finance hawatusaidii kwa Sasa hata tukiwajua.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Fungua code zaidi Malcom, hapa Bado Kuna maeneo sijawaelewa Vizuri.. turtle bay? Recrato amehusishwa na stronghold, huyo wa Tosa hakuwepo stronghold.Recrato, alikuwa kijana mwenye umri mdogo lakini ana nafasi ya Director of Research, Recruitment & Training.....
Alishika nafasi ya Logasto lakini hakuwahi hakusimikwa rasmi kuwa Logasto......
To(Tosamaganga) To(Toronto)....
Recrato akiwa 30's.......
The Director, anang'atuka,....
Maji yalizidi unga....
Circa 1985....
Logasto II....
Vyuma vilipenya.....
Wakati vinapenya mbizo zake zilikuwa ni CANADA.....
Mawasiliano yake hayakuwa mazuri na yeye alitonywa mapema....
Financo....
Akiwa 40's wakati huo....
Kakomaa kule TURTLE BAY halafu akarudishwa.....
Akapewa jukumu la kuongoza muunganiko wa kule nje......
HAYO MENGINE YA VITABU NI MARAHISI KABISA,...........
SISI YETU NI MACHO TU.......
Lakini anaonekana kuwa mpigaji sanaNamba mbili aliyerudishwa ipo clear kwa wanaofutilia matukio ya hivi karibuni...Huyo ndipo tumaini lipo kwake, tumwombee asikengeuke 🙏
Kumbe waKwao tabora
MKUU upewe Nini!!?Fungua code zaidi Malcom, hapa Bado Kuna maeneo sijawaelewa Vizuri.. turtle bay? Recrato amehusishwa na stronghold, huyo wa Tosa hakuwepo stronghold.
Kwa mujibu wa mtoa post Imran akiwa ndio Logasto alipoanguka ndio nafasi yake akachukua Logasto II.Kumbe wa
MKUU upewe Nini!!?
Recrato-ma....hi...ga
Director-... Mzee mchonga marehemu.
Logasto II -k...o...m..be... im...ran
Financo.....niguse ninuke...Rondo
Hakuna kitu kina kera kama "partial derivative" zenye "complex functions"!Mwanangu kama ulipiga applied Mathematics hii unatoboa! Kumbukia integration by parts
Iwe serikali mbili ya umoja wa kitaifa kama visiwaniKama nimeelewa jamaa anataka ile ya warioba ambayo ndio ya wananchi. Tofaut naona hapo kwenye serikali mbili.
We sheiza, shetani ni ndugu yako?Nashauri tusitoe kwanza maoni. Turudie kusoma tena na tena hata wiki nzima.
Mimi kwangu sijali sana idadi ya serikali, napenda nchi iwe na mifumo imara, haki sawa kwa kila raia na kufuata sheria.Iwe serikali mbili ya umoja wa kitaifa kama visiwani
Huyu jamaa anaweza kusaidia de'levisDuh!!!heshima yako bro japo umeandika kishwahili ninachokielewa ila kila nikisoma najikuta kama nasoma kituruki nisichokielewa
Unawashwa na viazi visivyokuhusu kijana!!!?Wabongo viazi mbatata kabisa. Umbeya na vimajungu mpaka kwenye siasa