Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

yalifanyika makosa kuruhusu Zanzibar kubaki na utambilisho wake.
Kwani ilikuwa ruhusa au makubaliano? au kulikuwa na bwana na mtwana wakati wa kuungana?
Sidhani kama kulikuwa na makubaliano maana wananchi ndio walitakiwa wapige kura. Ule uamuzi ulitoka juu kwa malkia na bosi wake US. Hawakuzingatia kuhakikisha wanafanya iwe nchi moja.
 
Wakuu

'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.

Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.

Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).

Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.

Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.

Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.

Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.

Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.

Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.

Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.

Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.

Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.

Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.

theState.
"Siku 90 halafu siku nyingine 180 tayar", ni miez 9. Nionavyo ni muda wa kutimia hbr ya FDR.

"Next stage ambayo tayar ishaandikwa" ni ya Mstaafu kustaafishwa ambayo tayar imeshafanyika Kwa kumkatia mawasiliano na Jikoni.

Nionavyo maridhiano na utekelezaji wa maagizo yatokanayo na Ile "operation ilositishwa"utafanyika b4 FDR hajaanza kaz.

Kuanza rasmi Kwa uandikwaji wa kitabu kipya utakamilishwa na FDR ndani ya miaka yake 2 ya uongozi. Baada ya kupatikana kitabu kipya FDR atatawala Kwa miaka 10 mingine.
 
Nimesoma yote mpaka hapa.
Ninachoweza kusema JF ina umuhimu sana ktk mambo mengi mtambuka ambayo yanatukuta kama nchi. Hapa tunakutana bila kujali kariba, vyeo na umri. Tunashare yote one one platform.

Kwa kusoma mada na koment za kufungua code. Nimegundu kuna watu walionizidi umri, ujuzi, akili, uzoefu, kufikiri na pia watu wanao au waliofanya kazi serikali kuu.
Tunawashukuru kwa uwepo wenu humu kujumuika na makabwela .
 
Mkuu
Ukipiga hesabu za SIKU 90 na 180 ambazo ni miezi tisa toka uzi utoke inaonekana ni 0933 kama!Sasa ishu ni hapo kwenye MBILI zibaki kama zilivyo je huo muundo utabaki kama ilivyo Sasa KWA serikali mbili tu!!?
 
T.Akili amedai vyombo vyote muhimu vya inteligencia worldwide vimethibitisha habar ya 2. Ngoja tuone walete hoja zao tujadili, kumbe mstaafu alikuwa kikwazo sana sana.
 
Tz tumeiga china kimfumo !
Kule kuna mtandao kama huu wa I'd feki Ili wenye Akili wawasiliane na wenye akili WENZAO kwa mstakabali wa ustawi wa ustawi wa Taifa lao!!na sisi ivo Ivo!!
 
T.Akili amedai vyombo vyote muhimu vya inteligencia worldwide vimethibitisha habar ya 2. Ngoja tuone walete hoja zao tujadili, kumbe mstaafu alikuwa kikwazo sana sana.
Mstaafu ni mfanya biashara na mtandao wake ni mkubwa Sana wa kibiashara ndio T.akili alikomenti kuwa pale s.t peters kuna idara ambayo huwalinda hao wakubwa hivyo watakao fanya mchakato wa kitabu kuwa mgumu Basi watashughulikiwa kimya kimya na wengine wangefanya too late ya Mama isiwe Beyond Mwaka huu!Kumbuka uzi ule ni wa 2021 naona Mama katambua akaona isiwe tabu ngoja afate MAELEKEZO yao!!!Ndio maana wameahirisha hapo 3/3/2022 Ili kumpa muda Hadi 2030 kunako maajaliwa ya muumba!!
TUSUBIRI
 
Mstaafu ni mfanya biashara na mtandao wake ni mkubwa Sana wa kibiashara ndio T.akili alikomenti kuwa pale s.t peters kuna idara ambayo huwalinda hao wakubwa hivyo watakao fanya mchakato wa kitabu kuwa mgumu Basi watashughulikiwa kimya kimya na wengine wangefanya too late ya Mama isiwe Beyond Mwaka huu!Kumbuka uzi ule ni wa 2021 naona Mama katambua akaona isiwe tabu ngoja afate MAELEKEZO yao!!!Ndio maana wameahirisha hapo 3/3/2022 Ili kumpa muda Hadi miezi tisa Baadae!
TUSUBIRI
Hakipo kilichobadilika, ilibidi ashughulikiwe kwanza starling bandia asivuruge mpango wa FDR. Mpango kuwekwa wazi maana yake ni mission acc...sd.
 
Mkuu
Tz tumeiga china kimfumo !
Kule kuna mtandao kama huu wa I'd feki Ili wenye Akili wawasiliane na wenye akili WENZAO kwa mstakabali wa ustawi wa ustawi wa Taifa lao!!na sisi ivo Ivo!!
Pia habar hizo kuwekwa wazi ni kuzuia makundi ndani ya kampuni yasitekeleze Nia ovu Kwa wasio na hatia. Kila kundi Lina tahadhari. Ashukuriwe Mungu wa Mbinguni kutuepusha na mabaya yasitukute.
 
"Siku 90 halafu siku nyingine 180 tayar", ni miez 9. Nionavyo ni muda wa kutimia hbr ya FDR.

"Next stage ambayo tayar ishaandikwa" ni ya Mstaafu kustaafishwa ambayo tayar imeshafanyika Kwa kumkatia mawasiliano na Jikoni.

Nionavyo maridhiano na utekelezaji wa maagizo yatokanayo na Ile "operation ilositishwa"utafanyika b4 FDR hajaanza kaz.

Kuanza rasmi Kwa uandikwaji wa kitabu kipya utakamilishwa na FDR ndani ya miaka yake 2 ya uongozi. Baada ya kupatikana kitabu kipya FDR atatawala Kwa miaka 10 mingine.
Juzi tuu huyo mstaafu alikuwa mgeni rasmi kwenye tukio fulani la Bank ya serikali na akatoa with..

Huyo huyo mstaafu yuko kwenye platform moja na Rais ya wajumbe wa Taasisi ya maji Kusini Mwa Afrika,sasa nyie mumekataje wakati na mwanae ni DM?
 
Ni kwamba:-
Ile mission ya KUINGIZA Rais ambaye hajawahi kugombea itaendelea kama kawa ndio huyo FDR ajaye!Hivyo mama atakaa pembeni hapo Baadae hatogombea tena! Halafu starling ni mzee msoga Ili akae pembeni asizuie mipango ya FDR kushika hatamu!!ILITOKEA MAREKANI ITATOKEA NA HUKU Uzi wa Tumia akili!!!
Apo nimeelewa
 
Back
Top Bottom