Kiswahili kigumu sana

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,176
1,730
Hivi unaelewa maana ya maneno haya?

1. Sharubati
2. Lakili
3. Nywira
4. Kiotomotela
5. Vibanzi
6. Kipakatalishi
7. Diski mweku????
 
Ngoja niwe wa kwanza du! Tangia Jan 2015!

Sharubati = Juice
Lakili = Seal
Nywila = Password

Vingine ngoja waje kumalizia wengine.
 
Back
Top Bottom