Kisa Cha Mmasai na Kuibiwa Ng'ombe

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wezi wa mifugo waliiba Ng'ombe kwa Mmasai na kumbakishia Ndama mmoja tu! Kisha wakamfunga yule Mmasai kwenye mti usiku kuchaa, Asubuhi yake majirani wakamuona yule Mmasai na kumpa pole baada ya Mmasai kuwaeleza kisa chote, na hapo yule Mmasai akasema sisitikii Ng'ombe wangu kuibiwa bali huyu Ndama waliyemuacha alikuja kuninyonya ***** usiku kucha akidhani ni ziwa la mama yake hapa nilipo niko hoi kanipigisha mabao 9!
 
Ndama angenyonya wapi kama sio kwa mwenye mifugo? Joke ina mchanganyiko wa masikitiko, huruma na kichekesho kwa mbaaali
 
Back
Top Bottom