Kipofu na kilema

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Kipofu na Kilema Walikuwa marafiki wakubwa sana. Kilema alibahatika kwenda mawindoni, akapata Nyama ya TEMBO kurudi nayo akaipika na kumualika rafiki yake Kipofu ila kasheshe ilikuwa kwenye upikaji wa Nyama ilikuwa Ngumu Mno, KIPOFU ile kuanza Kuingata alingata kitu Nguuuuumu mpaka macho yake yalipepesuka mpaka akaona akaanza ah Kilema ndio ww upo hivyo??? Akamwambia ndio ila naenda na Kigari. KiPofu Sababu anaona sasa akafikiria Hisani afanyeje rafiki yake naye afurahi??? Kipofu siku akamuona Simba akawacha mlango wazi aingie Simba kuingia kwa Kilema Mzee Kilema Kuona Simba alitoka barutiiiii Simba alimkimbiza Kilema mpaka Kilema miguu ilikaaa sawa.
 
Back
Top Bottom