luckyperc
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 495
- 46
Kuna kipindi kinaonyeshwa TBC1 KILA JUMAPILI baada ya taarifa ya habari, kinaonyesha matukio(MAZURI TU) kuhusu wizara mbalimbali na vitengo vyake, wanalengo gani hasa! maana wamerekodi tukio la kiongozi mmoja wapo ametembelea mradi uliokamilika,
JE TUJIBU WANAJIUZA AU......!!!???
JE TUJIBU WANAJIUZA AU......!!!???