Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Hivi kuna watu wenye akili timamu wanasikiliza hii radio kweli???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ndio tunasikiliza.
View attachment 68143
Tukishatoka hapa ni kulala tu kwenye mkeka tukiburdika na Radio Imanu, ikitangaza katika masafa ya FM moja kwa moja kutoka AHERA.
Kesho kutakuwa na mada ya kukafini maiti ya mwanamke mjane.
-Kwa wale msiojua matumizi ya maji yaliyooshewa maiti msikose kusikiliza kipindi hiki adhimu. Sikiliza ukiwa na udi pembeni ndio utaelewa, karibuni.