Kipimo kizuri cha uaminifu hiki hapa

Hapana hapana nooooo,huu ni ujinga,simu yake iendelee kuwa yake na yakwangu iendelee kuwa yangu,thats all bout me,kama ukicheche ataufanya hata bila simu na mimi vile vile!!!
 
haaaaa weee hujui wengine hatuna wikend wala dayoff,nikuachie simu iweje?
 
lawyer mbona unaongea matusi. Ila mi siwezi kuchukua simu yake aisee.
Nilitafta neno jengine skupata nikaona acha nilipue hilo hilo la real, unajua suala sio kuchukua simu yake suala ni kujenga mazingira ya kuondosha wasiwasi kwenye mahusiano. Unapomkatalia mwenza wako simu tayari unaindicate mazingira ya wasiwasi, na maisha ya wasiwasi ndio sumu ya ndoa.
 
ndio najua hutakiwi kuficha ficha simu yako ili kuepusha wasiwasi. Mimi sikuwa na mazoea ya kupekua pekuwa simu, kuna siku nilishika ile simu bht mbaya ila niliyoyakuta humo!! Uwiiiii.....!!!
 
Mimi huwa najiuliza, hivi kwanini ufanye mambo yako kupitia simu yako ambayo mpaka mwenza wako anaielewa? hivi hizi ni akili kweli? nadhani wengi wetu hatutathmini athari za simu kabla kugawa namba kwa watu ndio maana.
 
Back
Top Bottom