Kipimo kizuri cha uaminifu hiki hapa

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.
 
Na hivi ninavyopenda pesa hivi na cm yangu kila saa napokea cm ya dili- eti nijikute2 nimempa mchumba wangu kwa ajili ya kulea mapenzi ya darasa la 2b! dah! na elfu 50 ya saloon nitampaje? Kama c mwaminifu c mwaminifu tu na vipimo viko vingi, kwa intuitive deductor kama mm naweza detect trends za infidelity in my relationship, c lazima nimpe cm huo ni uchildish!
 
Si kipimo sahihi sana, wako vicheche waliobobea ambao huwa na simu za mkononi ambazo huziacha ofcn, na vicheche wenzake wote huwapa kwa namba hizo za simu za ofcn, Pia namna ya jinsi ya kuwasiliana ni ngumu mtu wa katikati kuelewa mienendo yao hata kidogo; wako smart sana huwezi kuwapata kirahisi ....
 
duh, kubadilishana simu labda muwe hamna majukumu mengine.
Kwa kifupi, inawafaa kula kulala zaidi.
 
sawa hata kama ni simu ya biashara,kesho ni weekend kama utakua nae karibu fanya hivyo,kwanini ukatae na ni mkeo,
 
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.
sasa kama kazi yangu ni ukachero nitamwachia mama kayaiii kweli simu yangu? akisoma yasiyosomeka?
 
Labda kama wote hamufanyi kazi ambazo ata weekend unakuwa in touch
 
ahh simu iyo apo
email paswod io apo
nin tena...ahh mwizi mahiri awez kubambwa kwa cm
 
Simu si kigezo bwana watu wanamiliki laini tatu hadi 4 wakiwa na wake zao/waume wanaweka laini ambazo vimada/vijeba hawazijui hapo unaweza danganyika kaka.uaminifu upo moyoni mwa mtu na sio kwenye simu
 
Swadakta,ndo zetu
Si kipimo sahihi sana, wako vicheche waliobobea ambao huwa na simu za mkononi ambazo huziacha ofcn, na vicheche wenzake wote huwapa kwa namba hizo za simu za ofcn, Pia namna ya jinsi ya kuwasiliana ni ngumu mtu wa katikati kuelewa mienendo yao hata kidogo; wako smart sana huwezi kuwapata kirahisi ....
 
dah,hiyo ngumu sana mkuu,acha nionekane c mwaminifu kla vp but simu yangu NOOOOOO!!!!
 
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.

Sina wasiwasi simu yangu ni dual sim na kando zangu zote ninatowa namba moja hivyo naweza itowa hiyo na kumpa iliyobaki. Jee nitakuwa mwaminifu?
 
Once a cheater.. Always a cheater! Anaweza kukupa simu yake kukufurahisha kumbe anayo simu nyingine ambayo you dont even know kama ina exist, ambayo ndio anatumia kufanya mambo yake..
 
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.
mKUU IMENITOKEA LEO. nimeenda na ya wife kazini naye amekwenda na yangu. Lkn kwa kuwa sina hizo issue wala cna wasiwasi
 
Kama hamja2lia lazma mmoja ambambe mwenzie, sababu mtu akishakuwa na line zaidi ya moja huwezikujua ni ipi anatumia kuweka mambo yake sawa.
 
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.

mimi sitoi namba kwa vimada,hata akae nayo wiki hapati kitu,na mechi za ugenini nagonga kama kawaida.uaminifu upo moyoni sio kwenye simu.
 
Nimekubali ila wengi hampendi kuacha simu ata weeend moja,mnasingizia ni ya biashara
 
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.

Ni nzuri ila 90% ya ndoa zitavunjika
 
Back
Top Bottom