Kipimo cha kumgundua Msaliti

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?
 
What are you looking for?
Imani imeisha, achaneni kwa usalama!
 
Sasa kama mnaweza kuongea Kama 2 adults na kureason kuna umuhimu gani wa kumnusa K yake kama ametoka kutiwa au sio!?

Duh hiyo hapana ya kumnusa K, ni heri uwe na uhakika kwanza ndo mfike huko tofauti na hapo kama hajatoka kuduiwa ni utakuwa ugomvi mwanzo mwisho, suala la maongezi daima ni tata hasa kama huna evidence ziletazo fikra hizo
 
Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?

Nikikujibu umnuse K utasikia harufu ya shahawa?
Au uichunguze K kama ina utelelezi utelelezi?

Naona hata huna uhakika wa nini unachotaka kujulishwa!
 
Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?

kama upo kwenye ndoa my dear hicho unachotafuta kitakugharimu sana wewe. sahivi technology imechange mpaka kwenye mapenzi full advancement ukijua hili wenzako wanajua lile. kuwa makini acha kutafuta shali utachizika na kupoteza muda mwingi sana.

sent from my htc chacha via jamii forums
 
pole mkuu, kikubwa huwezi kumcontrol mtu mzima hapo kinachotakiwa ni kila mtu ajue kua anatakiwa kutunza na kulinda penzi kwa faida ya wote wawili
 
hivi jamani kwanini kwanza uish na mtu usomwamiani hadi ifikie huko? to me if someone doesn't trust you it means that love is not there and if that is the case you better think of the means to remediation. ila mkuu if ni gf wako u dont need to go that much far beta ukonsetrate kwenye mambo mengne ya msingi kuliko kuchimbua atakayokupa jaka moyo.
 
Kuna mi-guberi mingine, kuigundua hata lie-detecter inagoma! Bora tu udanganywe tuu,ukijua ukweli utaumiaa
 
Mwambie dadaangu..
Unajua hata sielewi mtu anatoa wapi guts za kuishi na mtu ambaye kila wakati anamuwazia kuwa anamcheat??

kaka yangu mzima wewe? mwache ajitafutie bp na sheli zake. hajajua maisha akiyajua hatawaza hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom