Kipimajoto ITV Chaionyesha CCM haiaminiki tena

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
3,366
Kipimajoto cha leo ITV
'mabadiliko ya katiba katika CCM,je itakirudisha katika zama za waasisi wake wa awali'?
Hapana=64%
Ndiyo=27%
Sijui=09%
Nape vueni magamba,badilisheni katiba ila wananchi HAWAWA AMINI,period.
 
da mwenyewe niliiona hiyo nkawa naisubiri kwa hamu sana halafu mtangazaji akaanza kusoma kuanzia chini kwenda juu.....ila wabongo wanaishia kupiga kula kwenye simu tu siku ya uchaguzi hawaendi tuache unafki. kwa stahili hii hatuwezi kuing'oa xixim
 
mi ninachoamini uchaguzi wa 2015 utakua na hamasa sana,naona waliokosa 2010 kupga kura watahamasika sana.CCM ni devil.
 
Habari za uhakika watumishi wa serikali,wakulima,wanajeshi,wanafunzi wameichoka ccm!kina mama bado hawajaelewa vizuri
 
CCM imeishiwa mipango,niulize kwanini...
Hawana dira hata kidogo..... Tangu enzi za Kolimba..hata leo...
 
Habari za uhakika watumishi wa serikali,wakulima,wanajeshi,wanafunzi wameichoka ccm!kina mama bado hawajaelewa vizuri

Good point wakina mama wanatuangusha sana maana wao ndio walio wengi inabidi wakombolewe kwanza kifikra
 
Kipimajoto cha leo ITV
'mabadiliko ya katiba katika CCM,je itakirudisha katika zama za waasi
si wake wa awali'?
Hapana=64%
Ndiyo=27%
Sijui=09%
Nape vueni magamba,badilisheni katiba ila wananchi HAWAWA AMINI,period.

Hawa watoa maoni si wapiga kura mzee, wapiga kura wako huko ambapo ITV haifiki kupata maoni.Hence work done equals to ZERO.
 
Good point wakina mama wanatuangusha sana maana wao ndio walio wengi inabidi wakombolewe kwanza kifikra
CCM bado wana mtaji wa kura 200,000 Zanzibar ingawa ni asilimia ndogo sana (1%) ya wapiga kura Kitaifa (20,000,000?). Huku bara wanao mtaji wa Jaji Damian Lubuva na Afande Saidi Mwema, ila sina hakika kama hawa jamaa watasalimika na tsunami ya wanamageuzi mwaka 2015!
 
Siku masai, sonjo, wakwere na wazaramo watakapojua kusema no, ndipo siku itakayotangazwa kuwa siku ya ukombozi
 
Mpaka 2015 ifke itakuta hao wamama wametabika vyakutosha na ccm na pia itakuta wameelika vya kutosha kuhusu hawa mafsd wetu.
 
mtaji wa ccm ni vijijini. Kwa kadiri maeneo yanavyokuwa hayajaendelea ndivyo yanavyozidi kuwa ngome ya ccm. Ndio maana elimu inavurugwa kila siku ili ujinga uendelee, mikopo haitolewi kwa wanafunzi maana waathirika ni maskini ambao ndio mtaji wa chama cha mafisadi.mwanamke akielimishwa hatampigia kura mtu kwa sababu ni handsome!
 
hoja imekaa kizabina zabina na ki mbea sana hii
 
hivi kuna watu wanaoamini bado huo utombo wa ITV unaoitwa kipima joto? Ni watu wangapi wanaopiga kura? Wangekuwa wanatoa matokeo kwa namba kamili na siyo percentage wise!

Halafu ukisikika unasema CCM haiaminiki utachekwa sana, hamuoni chaguzi ndogo zote inavyowaburuza wapinzani? Wapinzani wataisubiri sana hiyo 2015!!
 
Back
Top Bottom