Kipima joto ITV leo

Mbna wanasema itv kufungiwa baada ya kupisha mjadala wa katiba ni kweli au uongo..nahtaji kufahamu hilo
 
Mh! Lakini namna ya uulizwaji maswali katika "kipimajoto" ni very questionable katika nyanja ya tafiti.
Maswali ya "kipimajoto" uwa ni directive sana; uitwa leading questions ambayo kwenye tafiti upingwa sana.
 
Back
Top Bottom