Kipigo cha Mwizi (Tahadhari kama una roho nyepesi usifungue)

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Duh jamaa wamempa kichapo mwizi mpaka basi
Hii ni nomaaa


mwizi.jpg
 
Hakuwa mwizi huyu ajali ya bodaboda, I saw it somewhere. It is so unsightly!
 
duh hii hatari. Ila jamaa ana roho ngumu, ingekua mimi hapo ningekua nimezimia lakini jamaa kakaa da!!!!!MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA NAOMBA UMUHURUMIE NA UMFARIJI NDUGU HUYU. BIKIRA MARIA faraja ya wenye uchungu UMUOMBEE huyo Ndugu.
 
Hakuwa mwizi huyu ajali ya bodaboda, I saw it somewhere. It is so unsightly!

...yes anaonekana kapata kiajali fulani...cause ni sehemu ya uso tu yenye jeraha! nampa pole sana huyu kijana.....very sad!
 
Huyo kaka naona kapitiwa na risasi ya high calibre machine gun, ila wasiwasi wangu mbopna bleeding ni ndogo hivyo wakati sehemu zilizochanika zina supply kubwa ya damu? Na kwa majeraha kama hayo huyu mhanga anatakiwa awe kwenye shock, unconscious au amekufa. Jamani, tuchunguze vizuri isije ikawa ni product ya photoshop!!!!
 
Back
Top Bottom