Kipigo cha kada Emmanuel Kahaya wa CCM Tumaini Makumira hakihusiani na Kampeni

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
katika hali isiyo kuwa ya Kawaida Polisi 5 wametinga Makumira Chuo na pira kuwa chukua Vijana wa LLB 2 wapato watano kwa kosa linalo husianishwa na mambo ya Kampeni Arumeru.Juzi usiku kada huyo wa CCM alikuwa anakunywa Pombe Maeneo ya Makumira eneo maarufu kama kwa Saimoni,katika kulewa alitofautiana kauli na Vijana walio kuwa hapo wakizungumzia mambo ya Siasa,katika kutukanana palizuka vurugu ambapo kada huyo wa CCM alipigwa na kusababishiwa kulazwa.Kilichoendelea CCM wamenunua kesi na kuihusianisha na vurugu za Kampeni.Vijana hao wamechukuliwa na hivi wako Polisi Usa River wakipokea kifinyo cha Polisi...
Nawasiliasha...
 
unawasilisha, a u unashtakia? Fujo na kila kibaya ni za CCM tu? zoezi likigeuka,, mnakuja kushtakia humu. Haya ngoja tusubiri mvua ya matusi sasa.
 
Yule wa Tindikali bado uso haujarudi sawa sawa, na huko mnataka kulianzisha tena. Nyi watu vipi?
 
unawasilisha, a u unashtakia? Fujo na kila kibaya ni za CCM tu? zoezi likigeuka,, mnakuja kushtakia humu. Haya ngoja tusubiri mvua ya matusi sasa.

Wewe lazima uwe mganga wa kienyeji, barozi wa shina, hujui kusoma wala kuandika na mwisho uko chini ya dola moja kwa siku. Hizi ndo sifa za wanachama wa kawaida wa ccm.
 
Wewe lazima uwe mganga wa kienyeji, barozi wa shina, hujui kusoma wala kuandika na mwisho uko chini ya dola moja kwa siku. Hizi ndo sifa za wanachama wa kawaida wa ccm.
hapo penye wekundu,, nadhani ulitaka kuandika "balozi"............sasa kati yangu na wewe asiyejua kuandika yupi hapa?? Rudi darasani kajifunze kiswahili,, usione soo
 
Polisi watafanya uchunguzi wa kipigo cha huyo mlevi kwa maelekezo ya ccm! Anyway, time will tell
 
ndiyo mvua yenyewe ya matusi inaanza kama wanavyojulikana kuwa wao ni mabingwa wa fujo na matusi, ndiyo maana wanakosa kura kwa wananchi kuhofia vurugu na uvunjifu wa amani pindi wakichukua dola. Itakula kwao kwa mara nyingine ili tuheshimiane vizuri. karibuni sana
 
Back
Top Bottom