Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

BURUNDI PRICE: Petroleum 2,350.00Burundi Franc per liter; Diesel 2250. RWANDA 1,088.00 Rwanda Franc per liter
 
Wabunge si waliliongelea jana hili; wanasema ile kampuni yetu ya kunua mafuta kwa wingi, kila ikitangaza tenda, kampuni zinazojitokeza ku-bid ni mbili tu. Hata wao wanashangaa; kwa nini kampuni mbili tu ndio zinajitokeza ku-bid; na sio zaidi?
Afadhali kama wameanza hata kulijadili
 
N
Hapa ndio wamegusa kwenye mfupa kabisa, na mama sijasikia kabisa analiongelea hili.....mafuta lita tano elfu 35? haijawahi kutokea hii
Ngoja tusubiri mafuta ya kula kutoka KE
 
Hivi kwa nini Serekali linapokuja swala la manunuzi lazima awepe dalali!? Kwa nini wasiende wenyewe direct kwa mzalishaji Mkuu,wakaa mezani nae!!
Sawa na wewe uende kwa Azam utake kununue carton 2 za juice. Wakati yeye anamuuzia agent wake carton 10,000 kwa siku. Hawezi kufanya biashara na wewe hata iweje. Atataka ukanunue kwa agent.

Kwa upande wa mafuta, mzalishaji mkubwa kama Aramco, anawauzia agents wakubwa kama Trafigura, Tessoro au Vitol. Wao wananunua mapipa almost 1M kila mmoja tena kwa siku. Na wao wanawauzia wanunuzi wadogo kama Tz, Kenya, Uganda n.k.

Sisi kama Tz hatuwezi kununua mapipa 1M kila siku. Labda iwe kila baada ya mwezi au miezi miwili. Nchi kama China, India, US ndo wananunua hata mapipa 2M kila siku na wanaenda kurefine wenyewe. Sisi hatufanyi refinery tena.
 
Wabunge si waliliongelea jana hili; wanasema ile kampuni yetu ya kunua mafuta kwa wingi, kila ikitangaza tenda, kampuni zinazojitokeza ku-bid ni mbili tu. Hata wao wanashangaa; kwa nini kampuni mbili tu ndio zinajitokeza ku-bid; na sio zaidi?
Mtaji mzee.

Kampuni nyingi bado ni ndogo sana japo wana majina makubwa.

Wengine wanapewa mzigo, wakishauza ndo wanapeleka marejesho.

Nakumbuka kama miaka 7 nyuma ndo walikuwa wanaleta mafuta kupitia agents wa Uswiss. Sijajua sasa nani ndo huwa analetea tena.
 
Dollar inasumbua dunia nzima huko SA ilikua $1 =15rand sasa hivi imekomaa mpaka rand 12 siku ingine rand 13 kwa dollar moja mafuta na wao wanatengeneza mengine kwa kutumia makaa ya mawe yamepanda mara mbili zaidi mpaka sisi wanunua bidhaa huko imetutingisha kidogo swala la dollar na mafuta ni mfumuko wa Dunia sio Bongo tuu..
Hii ndio faida ya stimulus package ya dollar trillion 2
 
Back
Top Bottom