Kipi kilisababisha uachane na mtu wako wa maisha?

Uchafu alikuwa mpaka anapiga passport anaenda kazini yaani anaosha kwapa tu na kwenye k anavaa anaenda kazini ukiondoka wiki ukirudi utakuta vyombo vichafu mpaka vina funza si ajabu ukakuta sufuria la ukoko ugari juu ya sofa, kiburi, dharau, mbishi, jeuri. Yule mdada wa kiha hapana aisee. Ajabu alikuwa hanuki k kabisa. Nilichokimiss kwake alikuwa umbo la kitusi akivua hips zimejaa hatari, alikuwa hana aibu kabisa mnaweza mkawa ndani akavua nguo zote akaanza kupika....!
Mwanamke anapiga passport!,sjui huu ujuzi aliupata wap
 
Nilimwambukiza U.T.I kali familia nzima ikashangaa mpaka baba mtu anasema toka azaliwe ugonjwa unaomsumbuaga ni typhoid sasa u.t.i kaitoa wapi

Dada zake wanamwambia kuwa makini na huyo bwana ako atakuja kukuambukiza ukimwi kwani hamkupima magonjwa wakati mnaanza mahusiano na hapo mahusiano yetu yalikuwa na miezi kama Tisa

Kilichonichosha zaidi ananiambia hadi mume aliewahi kumuoa kampigia simu anamcheka kwa kuambukizwa u.t.i

Wakati huo ananieleza hayo yupo ghetton kwake nilipompangisha,nilichofanya nilimpa hela ya matumiz nikasepa,nilivyofika kwangu nikamtumia ujumbe kuwa naomba tuachane alilia sana nikaamua kumblock ili asinipate kabisa

Baada ya wiki kila siku akinitafuta siku moja nikaamua kumblock,tukabonga fresh tu nikaenda hadi gheton kwake,nikalala,ila hatukufanya alitaka tupime tena ukimwi kwanza,kesho yake asubuh tukapima majibu yakatoka yako fresh tu kwa wote,nikaenda mishe mishe na alikuwa ameshanitaarifu ana safar ya kwenda kwa dada ake mikoani huko,hivyo nikatarajia jioni ntakaribishwa maghetoni nikaipige mbususu baada ya penzi kurudi lakin alikuwa kimya mpaka kesho yake yupo safarin ndo ananiuliza sasa mbona jana hukuja kulala,nikamwambia hukunikaribisha

Alivyorudi akawa haelewek,nikipiga simu hapokei,sms hajibu kwa wakat mara anakuwa sawa tunaongea fresh tu,nikimpanga kwenda maghetoni haelewek, ikabid nipige kimya ila moyo na mwili vikawa vinanisumbua sana, baadae tukaanza kuwa na mawasiliano tu ya kwenye simu ili niupoze moyo ila sina hamu nae,moyo ukiniuma nampigia simu tunaongea basi, ingawaje yeye huniambia tupo pamoja

Ila ni mwanamke alienifanya nikaacha kuchepuka kabisa
 
Tulipendana sana, tukapanga yote na kuahidiana yote!

Ukafika wakati mambo yakavurugika mimi nikiwa ndiye niliyeyavuruga kwa kuchoka kusubiri, kila mmoja akaendelea na maisha yake.

Ila, kwa kuwa alikuwa mtu wangu wa maisha nikashindwa maisha bila yeye…
The rest is history, we are happy in love!

Ulikaa bila yeye kwa muda gani? Ni yeye ndo aliomba mrudiane? Na mm imenitoka hiii. Mdada kasema kachoka nikajibu sawa. Mwezi wq nne sasa kila mtu na mishe zake.
 
Ulikaa bila yeye kwa muda gani? Ni yeye ndo aliomba mrudiane? Na mm imenitoka hiii. Mdada kasema kachoka nikajibu sawa. Mwezi wq nne sasa kila mtu na mishe zake.
Sisi tulikaa miaka, ni mimi ndio niliomba kurudiana kwa kuwa mimi ndio nilivuruga mambo.

Kusema ukweli ni Mungu tu alipanga tuwe pamoja maana licha ya miaka yote kupita na kila mmoja kuwa na maisha yake bado tukawa tunapendana, na hata sasa tunapendana zaidi.

So, kama ni wako atarudi tu.
 
Back
Top Bottom