super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
- Thread starter
- #21
Ruta mimi nawewe twapishana padogo... Kuna tofauti ya kuelezea kitu jinsi inavotakiwa na vile ilivo katika jamii.... Mie nimeliongelea jinsi ilivo katika jamii tokana na Uelewa wangu na vile nionavo. Ukiniuliza the same question kua inatakiwa iwe vipi nitajibu "Love" kwanza... But itakua kujidanganya.... Wanaume wenyewe ndio mashahidi.. hamtongozi mwanamke sababu kampenda... (ni mara chache); Anamtongoza sababu kamtamani.... in the Long run atakuja mpenda.
Na inapotokea mwanaume akamtongoza mwanamke sababu kampenda hua ni wale ambao wafahamiana... wamekua maybe hata marafiki huko nyuma wa kawaida... ama karibu wakasomana tabia, wakazoeana na only to realise there are some feelings there....
True, True, True...........Love first is mostly theoretical but practically is something else mostly!!!