Kipi bora???

gipsfuture

Member
Aug 16, 2012
6
0
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)
 
Vyote sawa, kwa sababu huwezi kutafuta mwenza kama huna maisha na huwezi kuwa na maisha kama huna mwenza. Katika kila mwanaume aliyefanikiwa kimaisha kuna mwanamke nyuma yake.
 
Tafuta kwanza hela,haya mambo ya kutafuta mpenzi wkt huna hela ndio chanzo cha kuja kutom**wa tu!
 
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)

Ndugu,ni bora ujipange kwanza kimaisha,then utatafuta mke baadae!
Mara kwa mara mwanamke akikukuta huna kitu heshima inapungua! just kwa mtazamo wangu tu!
 
Cha msingi ni kujipanga na kujitambua...............................
 
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)

Ni vyema ujitambue kwanza uko wapi, umetoka wapi na unataka kwenda wapi! Hii itakusaidia kufanya maamuzi ya either kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au baada ya kujipanga kimaisha ....
 
wewee, jipange kwanza kimaisha ndugu yangu wenza wapo tu, lkn ukipita umri fulani huna maisha, imekula kwako na huyo mwenza anakukimbia anatafuta wenye maisha.
 
hii kitu hainaga formulae ndugu.., tafta mke pale nasfi yako itakapoona unahitaji mke. na sio kujipanga au kutojipanga kifedha.
 
Vyote sawa, kwa sababu huwezi kutafuta mwenza kama huna maisha na huwezi kuwa na maisha kama huna mwenza. Katika kila mwanaume aliyefanikiwa kimaisha kuna mwanamke nyuma yake.

naungana na wewe kwa asilimia zote mkuu
 
Vyote sawa, kwa sababu huwezi kutafuta mwenza kama huna maisha na huwezi kuwa na maisha kama huna mwenza. Katika kila mwanaume aliyefanikiwa kimaisha kuna mwanamke nyuma yake.

Na kwa kila mwanaume aliyefeli? hiyo theory tu ya kinamama kutaka kujipenyeza kipindi kile
 
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)
Kujipanga kimaisha kwa kiwango kipi kaka!yaani mara tu baada ya kununua kitanda au baada ya kununua kitanda na makochi au kununua kitanda,makochi na TV nk.nk.
 
Na kwa kila mwanaume aliyefeli? hiyo theory tu ya kinamama kutaka kujipenyeza kipindi kile

John, tunaposema ktk kila mwanaume aliyefanikiwa kuna mwanamke nyuma yake inamaanisha kuwa; mwanaume anapokuwa na mwanamke, kinachofuatia ni kuzaliwa kwa watoto, kitu ambacho kitamfanya mwanaume aongeze juhudi ktk kutafuta pesa na kuwa makini zaidi ktk kila jambo ili watoto waishi vizuri, hapo atapata kipato zaidi na kile cha ziada kitatumika kuleta maendeleo, pia wake mara nyingi huwa wakali pindi mume anapofuja mali, siku zote wanahofu mali zikiisha watakao chapika ni mama na watoto. Ukiangalia upande wa mwanaume asiye na mwanamke, hufanya kazi bila kujituma na hana hofu na mtu pindi kipato kitakapo kata, akipata hela ya ziada kiasi kikubwa atajirusha na mademu kwani mademu kamwe hawawezi kukusihi kutumia fedha vizuri, wanachotaka ni matanuzi tu. Nafikiri umenipata.
 
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)

Mwenza unamtafuta all the time as long as bado hujapata kikubwa ni determination.
 
tafuteni wote, hii itawafanya wote mu-appreciate mali mtakayochuma na kuheshimiana zaidi. wanawake wengine ni tupa tupa asiye na uchungu au anapeleka kwa nduguze kama mali hakuitolea jasho.
 
Back
Top Bottom