Kipchoge katuzidi kiidogo tu, tunaziba pengo taratibu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,787
Kipchoge wa Kenya ni noma dadake, lkn katuzidi kidogo tu hata hapa kwenye Mbio pia tunaanza kuziba pengo, sijui Wakenya watatokea wapi mwaka huu kila mlipo tupo mpaka muombe poo, dadadeki!!

1. Eliud Kipchoge (KEN) 2:08,44 Std.
2. Feyisa Lilesa (ETH) 2:09,54
3. Galen Rupp (USA) 2:10,05
4. Ghirmay Ghebreslassie (ERI) 2:11,04
5. Felix Simbu (TAN) 2:11,15
6. Jared Ward (USA) 2:11,30
7. Tadesse Abraham (SUI) 2:11,42
8. Solomon Mutai (UGA) 2:11,49​
unnamed%2B%252833%2529.jpg

Tanzania is coming!
 
Naona mwakuja watanzania lakini kumbuka wale wakenya ni global superstars kwa riadha....mtaweza kweli?
 
Back
Top Bottom