M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,351 Jun 14, 2012 #2 Yameisha hakuna njia ya kuyafikia Ngazi iliyotarajiwa imevunjika vipande vipande
webondo JF-Expert Member Apr 29, 2012 1,713 382 Jun 14, 2012 #3 Huyu jamaa (Kipanya) ni bonge la mbunifu, naifurahia sanaa zake.
Baba Sharon JF-Expert Member Oct 22, 2010 373 249 Jun 14, 2012 #4 Kibishibishi unapanda............ila sharti utanue miguu
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,938 3,826 Jun 14, 2012 #5 Kipanya is a visionary!!!Sio sawa na hao wanaohongwa uDC.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 631 Jun 14, 2012 #6 kama matumaini hamna what next???? :israel::israel::israel:
Mimibaba JF-Expert Member Jul 1, 2009 4,557 1,291 Jun 14, 2012 #7 Emanuel Makofia said: kama matumaini hamna what next???? :israel::israel::israel: Click to expand... Rudi kwenye meza (drawing board) utengeneze mpango mbadala wa MABADIRIKO kinyume chake kubali kufa kimya kimya
Emanuel Makofia said: kama matumaini hamna what next???? :israel::israel::israel: Click to expand... Rudi kwenye meza (drawing board) utengeneze mpango mbadala wa MABADIRIKO kinyume chake kubali kufa kimya kimya