Kipanya leo!!

kipanya hiki kingetoka jana ingekuwa poooa!ila kwa leo mkuu kashakata hizo shingo zao!
 
Ha ulifikiri wale mchwa nao ni kitoeo changu pia, Ebo chukua shoka na upotelee tumboni nyama we
 
ndio tatizo la kuweka watendaji kwa misingi ya undugu na kujuana bila kuwaambia kuwa hizi ni ofisi za umma.
nafikiri zaidi ilikuwa kwa Adam Malima\

Mimi nampa kipanya shahada ya uzamivu ...kuanzia mwezi huu wewe ni Dr. Masoud Kipanya (PhD ya heshima)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom