Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
hUREEE,Kipanya hata ukatibu wa kijiji hapewiii.

SAM_2931.JPG
 
Kati ya wasanii ambao wanafanya kazi zao kwa weledi basi Kipanya ni mmoja wapo.Huyu Jamaa Tangu Mwaka Jana ameamua kuweka background nyeusi(giza) kumaanisha hili ni Taifa la mgao lisilo na suluhisho la kudumu la Nishati ya umeme.Yuko very consistent kwenye fani yake.Atakapojiridhisha kuwa Mgao ni historia(kama ahadi ya JK ilivyo) pengine katuni zake atazichora kwenye plain background

Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala
 
ur ryt babuuu
 
Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala[/QUOTE

Umenena mkuu!
 
Nakumbuka kuna siku huyu Kipanya alitoa katuni iliyowakebehi Magwandaa kwa kukiita chama chao CHADUMAA. Loooh salaaaa! Hayo matusi aliyovurumishiwa yanafika hata kilo billioni moja. Leo amewakebehi Magambaa, hizo sifa zake sasa.
 
Mbona wapiga kura wenyewe wote ni wanaume? Au hii nchi haina wanawake? Mpuuzi sana we Kipanya.

Sweety,

Acha hasira!

Pengine hawakujitokeza kupiga kura.na ndiyo wangeelekea kwenye upande mwingine dhaifu(wengi wao walituchagulia huyu dhaifu tuliye naye) .....(i'm kidding)
 
Nakumbuka kuna siku huyu Kipanya alitoa katuni iliyowakebehi Magwandaa kwa kukiita chama chao CHADUMAA. Loooh salaaaa! Hayo matusi aliyovurumishiwa yanafika hata kilo billioni moja. Leo amewakebehi Magambaa, hizo sifa zake sasa.

CHADUMAA ni WAPUUZI
 
Back
Top Bottom