Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

attachment.php
 
kama hii katuni inanasibishwa na na kura za jana bungeni, basi haina mantiki. kwanza kama dhaifu ndiyo hao chdm mbona walipiga kura za hapana. mbona hapo kwenye msitari hakuna mtu upande wa dhaifu!!!!!!!

kama katuni inahusu uchaguzi wowote ule, mbona maneno dhaifu na dikteta hayaendani! bora vichwa vya habari vingekua MASKINI na TAJIRI. watu wanampa kura tajiri wanamuacha maskini.

si jambo la kawaida watu kumpa kura dikteta. kipanya najua maana ya dikteta. kwanza dikteta hapendwi na watu. labda kama neno dikteta nalielewa tofauti. AMA KWELI WATANZNIA BADO TUKO NYUMA KIELIMU NA KIUCHAMBUZI. NDIYO SABABU TUNAWAOGOPA WAGANDA NA WAKENYA KTK JUMUIYA YETU. nilitegemema kuona watu wanamdis kipanya lkn kinyume chake anamwagiwa sifa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! makubwa haya!
 
Mbona wapiga kura wenyewe wote ni wanaume? Au hii nchi haina wanawake? Mpuuzi sana we Kipanya.

Dah, sijui umetumia kigezo gani kudraw conclusion kuwa ni wanaume watupu!!!
hawa watu hawaonekani kwa mbele kama wana matiti au hapana, na kama umetumia mavazi utakuwa umekosea sana kwani unajua kabisa kuwa siku hizi wote tunatinga jins na t-shirt.

pili foleni ni ndefu sana kiasi kwamba walioko mwishoni hawaonekani vizuri, inawezekana hao ndo wanawanawake kwani wamechelewa kidogo kufika, si unajua majukumu ya mmama tena nyumbani, anyonyeshe kwanza watoto, amnyonyeshe na mumewe, na afanye usafi kidogo chumbani, na kupaka mapouda na lipstick/shine na kuweka katani zake (wigi/wiving) vizuri
ha ha ha ha h a lo
 
Mbona wapiga kura wenyewe wote ni wanaume? Au hii nchi haina wanawake? Mpuuzi sana we Kipanya.

wanawake wa nchi hii ni fuata upepo na wanachagua watu kwa kuangalia sura na hasa wanapenda wale wanaofanya scrub ...therefore mtaandaliwa uchaguzi wenu huko saloon na kwenye massage parlours
 
kama hii katuni inanasibishwa na na kura za jana bungeni, basi haina mantiki. kwanza kama dhaifu ndiyo hao chdm mbona walipiga kura za hapana. mbona hapo kwenye msitari hakuna mtu upande wa dhaifu!!!!!!!

kama katuni inahusu uchaguzi wowote ule, mbona maneno dhaifu na dikteta hayaendani! bora vichwa vya habari vingekua MASKINI na TAJIRI. watu wanampa kura tajiri wanamuacha maskini.

si jambo la kawaida watu kumpa kura dikteta. kipanya najua maana ya dikteta. kwanza dikteta hapendwi na watu. labda kama neno dikteta nalielewa tofauti. AMA KWELI WATANZNIA BADO TUKO NYUMA KIELIMU NA KIUCHAMBUZI. NDIYO SABABU TUNAWAOGOPA WAGANDA NA WAKENYA KTK JUMUIYA YETU. nilitegemema kuona watu wanamdis kipanya lkn kinyume chake anamwagiwa sifa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! makubwa haya!

Kipanya ni msanii na anawakilisha ujumbe aliokusudia kisanii pia! Tafsiri yenypesi ni kwamba Chadema wanamuita Kikwete DHAIFU wakati CCM wanamuita Slaa DIKTETA, wananchi wanapiga kura kumkubali Slaa ambaye katika muktadha huu anaitwa dikteta! Cheers!
 
kama hii katuni inanasibishwa na na kura za jana bungeni, basi haina mantiki. kwanza kama dhaifu ndiyo hao chdm mbona walipiga kura za hapana. mbona hapo kwenye msitari hakuna mtu upande wa dhaifu!!!!!!!

kama katuni inahusu uchaguzi wowote ule, mbona maneno dhaifu na dikteta hayaendani! bora vichwa vya habari vingekua MASKINI na TAJIRI. watu wanampa kura tajiri wanamuacha maskini.

si jambo la kawaida watu kumpa kura dikteta. kipanya najua maana ya dikteta. kwanza dikteta hapendwi na watu. labda kama neno dikteta nalielewa tofauti. AMA KWELI WATANZNIA BADO TUKO NYUMA KIELIMU NA KIUCHAMBUZI. NDIYO SABABU TUNAWAOGOPA WAGANDA NA WAKENYA KTK JUMUIYA YETU. nilitegemema kuona watu wanamdis kipanya lkn kinyume chake anamwagiwa sifa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! makubwa haya!

Hii ni fasihi na kila mtu anaweza chambua anavyoweza lakini kimantiki we unataka kutupotosha! Kipanya anaweza kumaanisha kutokana na ufukara,wizi,giza vilivyosababishwa na dhaifu basi ni bora tungeongozwa na raisi dikteta tujue moja...ulichojitahidi wewe ni kuonesha jinsi gani ulivyo mwoga wa mabadiliko na hofu ya udikteta! Kuhusu uchambuzi hujui kitu!
 
KP anaweza bna, yani kwa hali ilivyo sasa hapa Tz, watu wapo tayari hata kuikabidhi nchi kwa dikteta kuliko huyu jamaa dhaifu na serikali yake ya kipuuzi na bunge lake la kizembe kuendelee kuwepo madarakani, me support that nau...
 
Mbona wapiga kura wenyewe wote ni wanaume? Au hii nchi haina wanawake? Mpuuzi sana we Kipanya.

yan wewe umeshindwa kuona na kutafsiri katuni hiyo ukaona utukane katuni.

Sikutegemea kama nitakutana na mwana jf mwenye uwezo wa kubishana na katuni,
 
Kati ya wasanii ambao wanafanya kazi zao kwa weledi basi Kipanya ni mmoja wapo.Huyu Jamaa Tangu Mwaka Jana ameamua kuweka background nyeusi(giza) kumaanisha hili ni Taifa la mgao lisilo na suluhisho la kudumu la Nishati ya umeme.Yuko very consistent kwenye fani yake.Atakapojiridhisha kuwa Mgao ni historia(kama ahadi ya JK ilivyo) pengine katuni zake atazichora kwenye plain background

Pia anajua kufikisha ujumbe wake vizuri.Ukosoaji wake kupitia katuni sometimes unaleta logic kuliko hata mwandishi wa zaidi ya kurasa 3 za makala

Sio kurasa kaka, BAJETI nzima ya CCM!!!
 
Back
Top Bottom