Kiongozi wa kundi la Al Qaeda lebanon afariki

ngovazi

Member
Jan 5, 2014
7
2
Kiongozi wa kundi la Al Qaeda Majid Al Majid amefariki akiwa kizuizini nchini lebanon. Majid al majid ni mhusika namba moja katika mashambulizi ya washia nchini lebanon na tukia la ushambulizi wa balozi za iran nchini lebanon
 
E Mungu msamehe Mja huyo kwa madhambi yake.
 
حركة الشباب المجاهدين‎;
 
حركة الشباب المجاهدين‎;

Afe tu kwani nini bana aalah!
 
majed_el_majed.jpg

majid_2781162b.jpg
 
Kiongozi wa kundi la Al Qaeda Majid Al Majid amefariki akiwa kizuizini nchini lebanon. Majid al majid ni mhusika namba moja katika mashambulizi ya washia nchini lebanon na tukia la ushambulizi wa balozi za iran nchini lebanon

kuna viongozi wangapi wa alkaeda?...kila siku wana uliwa wengine wako Guantanamo...Osama wamesema wame muua..sasa mara alkaaeda haipo tena imeshamalizwa
mara kuna alkaada iraq, mara maghreb,mara yemn, mara somalia mara kenya.....mara Kilindi Tanga....
inaonsha hawa alqaeda ni kuliko UN maaana kila siku wana kiongozo mpya!!!!

huu ni uongo na propafanda ili kuwatia kitisho watu wasifanye yao....mpaka mara hii wagalatia wakakosa sherehe za mwaka mpya kwa fataki ..kisa kuna alqaaeda....
tuwache haya mambo mwisho tutaambiwa tusitoke kuna alqaeda...
jamani msitishe watu alqaeda ni kiini macho tu
 
Hawa al gaida sijui wanataka nini,huko irag napo wamewasha moto mji wa falluja na Ramadi wameteka
 
Back
Top Bottom