nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,635
- 844
Lebanon ilikuwa na idadi kubwa ya Wakristo katika eneo la Mashariki ya Kati na ilipata mafanikio katika maendeleo na uchumi, ingawa haina utajiri wa mafuta na gesi. Ilikuwa inalinganishwa na Paris, lakini bahati mbaya ilikumbana na wimbi kubwa la wakimbizi kutoka Palestina wakati taifa la Israel lilipoanzishwa rasmi na kuwatawanya watu duniani kote. Hii ilisababisha kuhamia kwa idadi kubwa ya Waarabu Waislamu nchini Lebanon na kuongezeka kwa idadi yao kama ilivyo katika nchi za Ulaya.
Vikundi vya kigaidi, kama vile Hezbollah, viliibuka na kuanza kushambulia wakazi wa eneo hilo.
Wengi wa wazawa, yaani Waarabu Wakristo, waliamua kuondoka nchini na kuhamia Ulaya. Hali nchini Lebanon iligeuka kuwa mbaya sana, na uchumi ukadorora huku kukikosekana serikali rasmi. Nchi inayotoa msaada mkubwa kwa utulivu wa nchi ni Iran, nchi inayofuata madhehebu ya Shia.
Tahadhari inahitajika, kwani hali ya usalama inaweza kuwa mbaya.