Kiongozi mnyonyaji mkuuu au mnyonywaji mkuu ni yupi kata ya hawa kwa mlolongo

Limbukeni

Senior Member
Feb 27, 2009
117
1
REKEBISHO.
KIONGOZI MNYONYAJI MKUU AU MNYONYWAJI MKUU WA HAKI NI YUPI KATI YA HAWA KWA MLOLONGO
(1)katibu kata
(2)raisi
(3)waziri mkuu
(4)diwani
(5)makamu wa raisi
(6)mwananchi
(7)mbunge
(8)balozi nyumba kumikumi
 
REKEBISHO.
KIONGOZI MNYONYAJI MKUU AU MNYONYWAJI MKUU WA HAKI NI YUPI KATI YA HAWA KWA MLOLONGO
(1)katibu kata
(2)raisi
(3)waziri mkuu
(4)diwani
(5)makamu wa raisi
(6)mwananchi
(7)mbunge
(8)balozi nyumba kumikumi

LIMBUKENI,
Kuchambua hili ni KAZI KWELI KWELI.
Nasubiri nione.
 
Nitawapanga Mnyonyaji zaidi akiwa wa kwanza:
1. mbunge
2. raisi
3. waziri mkuu

na Mnyonywaji Mkuu ni:
1. mwananchi
 
nitawapanga mnyonyaji zaidi akiwa wa kwanza:
1. Mbunge
2. Raisi
3. Waziri mkuu

na mnyonywaji mkuu ni:
1. Mwananchi


tuna wabunge wawili hapa zitto kabwe na slaa ambaye alipendekeza unyonyaji huo upunguzwe watusaidie mada hii kutokana na majibu ya huyu mdau
 
Back
Top Bottom