Kiongozi Mkuu wa Waasi Iran Anyongwa!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
KIONGOZI mkuu wa kundi la waasi nchini Iran, Abdul -Malik Rigi amenyongwa, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali nchini humo.

Rigi kiongozi wa kundi la Waislamu wa madhehebu ya Sunni Jundallah alinyongwa baada ya kesi ilioambatana na kuhojiwa na kudumu miezi kadhaa.

Yeye na kundi lake wanatuhumiwa kwa kusafirisha madawa ya kulevya kinyume cha sheria,utekaji nyara na uripuaji wa mabomu katika eneo la mkoa wa kusini-mashariki unaopakana na Pakistan.

Jundallah inasema kuwa inapigania haki za Wasunni walio wachache katika nchi hiyo, ambako Washia ndio walio wengi.

Rigi alikamatwa hapo mwezi wa Februari wakati alipokuwa katika safari ya ndege kutoka Dubai kuelekea Kyrgyzstan.

Source: MWANANCHI.
 
waache hao jamaa wauane ili idadi yao ipungue wanatuletea vurugu sana huku duniani.kama si waisilamu dunia ingekuwa na amani
 
Back
Top Bottom