Cameron: Lazima shughuli za Iran zinazotishia utulivu wa dunia zidhibitiwe

Messenger RNA

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,105
3,026

Cameron

ReutersCopyright: Reuters
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya Kati.
Cameron alithibitisha katika mahojiano na gazeti la Uingereza la "The Sunday Telegraph" lililochapishwa Jumapili kwamba Uingereza itaimarisha ushirikiano wake na washirika ili kuendeleza hatua za dhidi ya Iran.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza aliishutumu Iran kwa kusaidia "mawakala" wake wa Hamas, Houthi, na Hezbollah kuyumbisha utulivu wa kimataifa, na akasema kuwa inatoa ndege zisizo na rubani, makombora na ujasusi wa kimbinu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameongeza kuwa, ujumbe wa onyo wazi lazima upelekwe kwa Iran kutovumilia mashambulizi ya Houthi dhidi ya meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu.
Tangu katikati ya Novemba, kundi la Houthi nchini Yemen limeanzisha mfululizo wa mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara zinazovuka Bab al-Mandab.
Kundi hilo lilisema kuwa lilikuwa likilenga meli za Israel, kujibu kile walichokitaja kuwa mauaji ya Israel katika Ukanda wa Gaza na kuzingirwa kwake.
Uingereza inashiriki katika muungano mpya wa kimataifa, "Guardian of Prosperity," unaoongozwa na Marekani, kulinda harakati za biashara katika Bahari Nyekundu dhidi ya mashambulizi ya Houthi nchini Yemen.
Pia ilitangaza vikwazo vipya vinavyolenga "wafanya maamuzi wa Iran na wale wanaotekeleza amri zake," akiwemo Ismail Qaani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran.
Cameron alipoulizwa kama London ilikuwa tayari kuweka hatua zaidi, alijibu kwamba suala hilii "sio kwa ajili ya kujadiliwa kwa umma".
BBC Swahili
 
Anasema hawatavumilia na wakati wanavumilia.

If anything, wangetakiwa kuchukuwa hizo hatua kama wanaweza na siyo kulalamika tu kila siku.

Mbona tokea wakati wa George W Bush wanavumilia tu? And even before that bado tu wamekuwa wakivumilia bila kuchukua hatua zaidi ya malalamiko tu.
 
Siyo bure kuna uwezekano Iran atakuwa na silaha za nuclear na nchi za magharibi watakuwa wanajua kitu hicho, Iran ameshaweka siku za Israel zinahesabika, ataingamiza Tela Aviv, pia inasema iko tayari kupigana na USA, NATO kitu ambacho hata China, Rusia wanaogopa sana, Iran alishawahi kumzuia Angel Markel ili ndege yake isipite kwenye anga la Iran, Iran amewahi kupiga kambi za USA huko Iraq na USA hakufanya chochote, Iran anasapoti hezibolla, Houth na vikundi hivyo vina nguvu na huwezi kuvibeza, Iran amesema atalipua mkondo bahari wa Gilbblata ambao ni Shemu ya Hispania mshirika wa NATO endapo Meri za Israel zitapita eneo hilo, hiki kitu hata Rusia au China hawezi kuitangazia Dunia.
 
Mrusi gani ana ogopa USA ? wewe kweli kiraza
 
Ukimuona Simba mjini ujue yupo amfugae.
 
Huyo Israel si inasemekana anamiliki vichwa 300 vya nyuklia sasa siku akivurugwa hapo mashariki ya kati patachafuka
 
View attachment 2851723

Shoga anasemaje?
 
Nyie tukiwaambieni kama hamna wakuipiga iran mnakua mnabisha mnaona kama tunamkuuza
Kwa sasa hakuna taifa lakuipiga iran unadhani iran angekua na vigobole kama sadam angekua analeta jeuri hizi
Iran ukimgusa ujue kama UK ajue LONDON itachafuka kama US kule DC nakwengineko kutanuka kama FRANCE basi PARIS nk kutanuka kwel kwel
Yaani wakiungana wanaweza wakaiipiga iran hili lipo wazi ila hio gharama watakayoilipia hawatakaa waisahau
Sijawahi kumuona mtu mjinga na mnafiq kama kameroon
Yaani yeye wakati yupo kama PM wa UK alishindwa kuidhibiti iran kwa sasa kawa mbwekaji tu wapale LONDON ndio anapiga piga kelele mjinga mmoja huyu
Mwisho unakosea sana kudhania kwamba UCHINA na RUSSIA wanaiogopa us na shost zake
Hawana sababu yakupigana ila hao watu watapigana tu kwa proxy war ila direct war naona iko mbali mbali sana ila RUSSIA na US na UCHINA wanawezana ikibidi
 
Huyo Israel si inasemekana anamiliki vichwa 300 vya nyuklia sasa siku akivurugwa hapo mashariki ya kati patachafuka
Israhell hata akivurugwa anadhani hio nyuklia anayopekeake
Iran mara kadhaa wamesema hawana silaha za nyuklia sababu dini inakataza kuzimiliki ila wakiamua kuzimiliki hakuna mtu ama taifa lolote linaweza kuwazuia wasimiliki (hii kauli ndanimwe ina ujumbe mzito kwa wanaojua israhell na shost zake wanajua kama iran anacho anachojivunia sio bure kiukweli wanataka sana iran sababu anakwamisha ajenda zao ila watamuweza)?
 
Anasema hawatavumilia na wakati wanavumilia.

If anything, wangetakiwa kuchukuwa hizo hatua kama wanaweza na siyo kulalamika tu kila siku.

Mbona tokea wakati wa George W Bush wanavumilia tu? And even before that bado tu wamekuwa wakivumilia bila kuchukua hatua zaidi ya malalamiko tu.
Ukigomba na kichaa utaishia kushusha adhi yako wakati ulikuwa na heshima mbele ya jamii hivi unavyowazwa Iran aweza mchapa USA? Mtoto akiwa anajifunza rusha ngumi wakati mwingine anguka afurahi umeanguka. Iran ni sekunde tu hakuna Taifa .
 
Basi kama wanajua kua watashusha heshima waache kulia lia
Hata ghaza pale israhell tuliaminishwa itachukua masaa 24 tu
Ila mwezi wa tatu ule pale unaingia kesho kutwa
Waache kuisema sema iran ya watu maadam wanajua kua ni chizi
 
View attachment 2851723
ReutersCopyright: Reuters
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya Kati.
Cameron alithibitisha katika mahojiano na gazeti la Uingereza la "The Sunday Telegraph" lililochapishwa Jumapili kwamba Uingereza itaimarisha ushirikiano wake na washirika ili kuendeleza hatua za dhidi ya Iran.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza aliishutumu Iran kwa kusaidia "mawakala" wake wa Hamas, Houthi, na Hezbollah kuyumbisha utulivu wa kimataifa, na akasema kuwa inatoa ndege zisizo na rubani, makombora na ujasusi wa kimbinu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameongeza kuwa, ujumbe wa onyo wazi lazima upelekwe kwa Iran kutovumilia mashambulizi ya Houthi dhidi ya meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu.
Tangu katikati ya Novemba, kundi la Houthi nchini Yemen limeanzisha mfululizo wa mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara zinazovuka Bab al-Mandab.
Kundi hilo lilisema kuwa lilikuwa likilenga meli za Israel, kujibu kile walichokitaja kuwa mauaji ya Israel katika Ukanda wa Gaza na kuzingirwa kwake.
Uingereza inashiriki katika muungano mpya wa kimataifa, "Guardian of Prosperity," unaoongozwa na Marekani, kulinda harakati za biashara katika Bahari Nyekundu dhidi ya mashambulizi ya Houthi nchini Yemen.
Pia ilitangaza vikwazo vipya vinavyolenga "wafanya maamuzi wa Iran na wale wanaotekeleza amri zake," akiwemo Ismail Qaani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran.
Cameron alipoulizwa kama London ilikuwa tayari kuweka hatua zaidi, alijibu kwamba suala hilii "sio kwa ajili ya kujadiliwa kwa umma".
BBC Swahili
polepole wanajikusanya, muda si mrefu lugha itakuwa nyingine kabisa.
 
Ukigomba na kichaa utaishia kushusha adhi yako wakati ulikuwa na heshima mbele ya jamii hivi unavyowazwa Iran aweza mchapa USA? Mtoto akiwa anajifunza rusha ngumi wakati mwingine anguka afurahi umeanguka. Iran ni sekunde tu hakuna Taifa .
Hata Burundi hawezi kupigwa sekunde acha undezi
 
huko usitaje kabisa manake hata wakisema wanawithdraw leo, wapalestina watarudi wapi, kwenye magofu? na bado unasema wameshindwa vita.
Wa withdraw au wakimbie
Kwani baada ya kufukuzwa mwaka 1948 kwenye ardhi zao waliishi wapi
Hamas kamatieni hapo hapo maana kelele za kuwith draw zishaanza huku. Kwa wazayuni wa jf
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Israhell na wazayuni wa jf vita mliishashindwa kabla hamujaianza mbona yaani mulishindwa muda sanaaa
 
Back
Top Bottom