Kingunge Ngombale Mwilu rudi kijijini na wewe ukapumzike

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Hivi huyu mzee hanaga kwao kutwa kukaa hapa mjini nakufanya ufisadi na kuendeleza siasa za ujamaa wakati ni mnyonyaji. Kawaida wazee wakisha staafu wanaenda vijijini kwao kupumzika na wanaachana na siasa yaani mpaka meno yameisha mdomoni lakini bado anapiga jalamba. Wazee kama hawa tumewachoka hapa mjini
 
Akirudi kwao wata mkatamkata na mapanga kwa madai ni mchawi,si una ona ule uzee na sura.
 
dawa ya vizee kama hivyo vinavyo ngangania kukaa mjini ni mapanga tu kama shinyanga kanatumalizia hewa tu hapa mjini.
 
we uanze kwanza
Kwani nani ataki Kuagwa Karimjee loh hata mie ningekomaa na dar kwa umri huooo kijijini nenda mwenyewe wamekushindwa mwinyi na zanzibar kama uk ..iwe babu!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi huyu mzee hanaga kwao kutwa kukaa hapa mjini nakufanya ufisadi na kuendeleza siasa za ujamaa wakati ni mnyonyaji. Kawaida wazee wakisha staafu wanaenda vijijini kwao kupumzika na wanaachana na siasa yaani mpaka meno yameisha mdomoni lakini bado anapiga jalamba. Wazee kama hawa tumewachoka hapa mjini
Mzee amezaliwa Kariakoo, amesoma shule za dsm, kazi amefanyia dsm. Unataka umpeleke kijiji gani!
 
dawa ya vizee kama hivyo vinavyo ngangania kukaa mjini ni mapanga tu kama shinyanga kanatumalizia hewa tu hapa mjini.

mkuu tema mate chini kama una babu ama bibi....
Nilikuwa kimara mwisho siku moja nikawa kwa dada mmoja namsalimia sina miezi miwili..baada ya muda ikatokea gari ikapiga break kama inamkosa mtu...kwa madereva mnajua mlio wa break akasema ""mpe"""nkamwambia loh vibaya hivyo....wakati tunajitayarisha kutoka akakuta nyumba ya tatu alio dadake wanalia ambaya tukasema twende ndugu mtoto wa dadake kagongwa na ndio alikuwa amekoswa koswa mungu ni mwema ajaweza kutembea sawa sawa lakini anapumu so ni kama hayo ..kuwa makini
ubarikiwe
 
Jamani mwache mzee ale bata mjini,kijijini hakuna miundombinu ya kula bata.
 
Huyu mzee kwao ni KILWA KIVINJE mfukuzeni hapo mjini anachelewesha maendeleo ya jiji letu@@@halafu sasa hivi amekuwa kama msukule huyooooooo
 
hizi mada nyingine....chaaaa...unafikia mpk kupanga maisha ya watu yaweje???kweli umekosa kazi mwenzetu...mnh...nashangaa upupu kama huu unaruhusiwa kukaa hapa JF?....mmmmmmnh
 
Unadhani anaweza fanya kosa akarudi Kilwa ambako hakuna umeme wala maji ya bomba?!
 
sa bungeni anafanya nini
miaka nenda rudi kwao hakuna
kitu?? kweli
kata mapanga tu wanamaliza hewa
na kuzidisha foleni hapa
town aghrrrrr

Unadhani anaweza fanya kosa akarudi Kilwa ambako hakuna umeme wala maji ya bomba?!
 
Kwani anakula kwako?,
Hivi huyu mzee hanaga kwao kutwa kukaa hapa mjini nakufanya ufisadi na kuendeleza siasa za ujamaa wakati ni mnyonyaji. Kawaida wazee wakisha staafu wanaenda vijijini kwao kupumzika na wanaachana na siasa yaani mpaka meno yameisha mdomoni lakini bado anapiga jalamba. Wazee kama hawa tumewachoka hapa mjini
 
Hivi huyu mzee hanaga kwao kutwa kukaa hapa mjini nakufanya ufisadi na kuendeleza siasa za ujamaa wakati ni mnyonyaji. Kawaida wazee wakisha staafu wanaenda vijijini kwao kupumzika na wanaachana na siasa yaani mpaka meno yameisha mdomoni lakini bado anapiga jalamba. Wazee kama hawa tumewachoka hapa mjini

Tatizo ..mnadhani kila mtu anatoka kijijini lol
Kuna watu hawajatoka vijijini, wakistaafu wanastaafikia mijini.
 
Back
Top Bottom