Dah...Kiswahili chenyewe tu bado hatujawa sawa...ndiyo uanze kutuingiza kwenye Kiingereza?... .yaani ...I like me.....Just leave God be called God 🤣 😎Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Rekebisha kwanza kiswahili chako maana kibovu.Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Writing/speaking broken English is a way of learning, certainly once corrected, a victim is expected not to repeat the same mistake. what lets you down is a tendency of some idiots, dissappointing the ones in the processing of learning, surprisingly most of those idiots cannot speak a single English sentenceDah...Kiswahili chenyewe tu bado hatujawa sawa...ndiyo uanze kutuingiza kwenye Kiingereza?... .yaani ...I like me.....Just leave God be called God 🤣 😎
Dah.... 不只是粉刺这里有人痤疮
沒有粉刺問題是我們的教育系統这里有人痤疮
有鱷魚嗎?Dah.... 不只是粉刺
Sijambo Pendael24.
Mzima kabisa Mungu ni mwema.Sijambo Pendael24.
Bila shaka na wewe ni mzima wa afya.
Ni public school labda utofauti na nchi tu.
Swali zuri sana ambalo hata mimi natamani kujua jibu lake.Naomba kufahamu kutoka kwako, kuhusu elimu itolewayo hapa nchini kwetu,inalinga vipi na ya nchi nyingine labda ulikosoma wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaji mkuu mwenyewe kasema mahakama ziwe zinaendesha kesi kwa kiswahiliNyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Daaah!Swali zuri sana ambalo hata mimi natamani kujua jibu lake.
Ukweli sijawahi kupata namna ya kulinganisha au kutofautisha/sijawahi fanya tafiti.
kweli kabisaNyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Pia ni kosa la unyanyasaji wa umma --- mass abuseKutumia Kiingereza kwenye nchi ambayo majority wanaongea Kiswahili inaonesha uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo.
Utakosa mengi. Kiingereza ndiyo lugha ya maarifa. Kama inakupiga chenga mengi yatakupiga chenga.Ngeli ikinipita kushoto nitapungukiwa nini?
Nitalala njaa au?