Dah. . .na nyie mliniboa. . .au ni weke siri zote hapa. . .shopping nigharamikie mimi bado mnichomeshe mahindi mtoto wa watu. . .No one keepeth the Don waiting. Mmevunja code number 63 ya U-Don kwenye The Don Book of Codes and Law. . .codex um donnii mangiferium. . .
Hahaha. . .na utamwaga tu. . .ngoja tunguri zangu kwa yule mganga zikae vizuri. . Mpaka waje na magoti na wanilambe nyayo ndo ntafikiria kuwasamehe.
Wala.. .sherehe huku imebambaje, wa2 wanakula ndafu mpaka wamebebwa. . .
Nimekuja kabla ya Sweetlady tuone sasa! Huo ugomvi kati yetu nahisi tu kaka Paw ndio ataweza tutenganisha. Nina hasira ujue!
Hizo nyayo zinalambikaje wakati mie kilambio nimemuachia hazbendi? Itakuwa ngumu aisee. Kesho nakuja tumalizie shopping. Ile trunk bado imejaa $$, manake bila msaada wetu haziishi zile aisee!
Ni kwa tukio lililotokea Moshi la kumchomesha mahindi mpaka yakaungua Don Mangi, papaa ya Kichagga. . .la presidaa of Moshi, leo atakua viwanja vya mashujaa akichoma ndafu ya ngombe. . .wananchi wote wa mji wa Moshi na viunga vyake mnakaribishwa. . .Hakuna kiingilio but kwenye hiyo sherehe King'asti na Sweetlady wamepigwa ban mpaka kifungo chao kitapoisha.
Source: Don Mangi's PR.
niko hapa soweto ni jirani sana na hapo kwenye red,
nakuja tena nina handbag imejaa wekundu, kaa mkao wa kula na kunywa hadi kieleweke.
Dola bado zipo, nimekuja na malori kama ya samsung,l. .hamna kuishiwa
Owkeey. . .basi sogea sogea kama unakuja huku kwenye hili Kanisa la Kibaptisti utakuta Range Rover Sport nyeusi tinted iko silence ntakua nakungojea.
Mimi mtanikuta hii supermarket ya chang bay, nanunua visebeo vya kula njiani. Arusha nimebook kibo, usijali ile master card yako bado haijafulia.
Owkeey. . .basi sogea sogea kama unakuja huku kwenye hili Kanisa la Kibaptisti utakuta Range Rover Sport nyeusi tinted iko silence ntakua nakungojea.
Namalizia kufanya mazoezi then ntarudi kwaajili ya kuvaana na Don MangiWifi AshaDii usiwe na wasi.....haivunjiki ndoa ya mke mwe King'asti hapa wala yanguAfu King'asti yote haya umeyasababisha wewe! Ilikuwaje ukanitambulisha kwa hili pedeshee la kichaga????.....nataka hongo kabla sijamwaga kuku hapa shemeji Paw akiona lile gari jekundu litabaki historia..... Catherine mekumiss kimtindo ila kuna isue imenibamba mwenzio.....usijali vile leo ni week end tutakutana pale pa siku zote.....Mwaaaa to you!