Kinana kusimamia uchaguzi nchini Kenya

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
5,913
1,208
Speaker wa zamani bunge la EAC Abrahaman Kinana ametajwa kuwa kiongozi wa jopo la waangalizi wa uchaguzi ujao nchini Kenya kutoka nchi wanachama wa EAC.

My take:
Huyu jamaa anatajwa kuhusika na wizi wa nyara za serkali; je, ana-fit hapo?

Chanzo: BBC
 
According to the 1989 Kenyan census, approximately 900,000 ethnic Somali people live in Kenya. Although provisional results from the 2009 census reported a much larger number of over 2.3 million Somali residents, they are believed to be inaccurate due to inconsistencies in the gathered data.

The figure has consequently been nullified for an official recount.

SIL Ethnologue reports a breakdown of the Somali population in Kenya from the 1989 census, consisting of 45,098 individuals, as well as an additional number of Somalis identified on a clan basis: 27,244 from the Hawiye clan, 100,400 from the Degodia clan, and 139,597 from the Ogaden clan
 
Safari_ni_Safari

Upuuzi gani tena huu.....kweli mafunza wamejaa humu jamii forums
 
Kinana ana tuhuma za kupanga wizi wa kura kwenye uchaguizi mkuu wa Tanzania mwaka 2010 na ahajzitolea maelezo ya kuridhisha.Sasa mtu mwenye rekodi ya kushambulia Demokrasia hawezi kuwa custodian wa democracy!
 
Tangu miaka ya nyuma alipowasaidia ccm jinsi ya kuiba kura mpaka leo wanamheshimu na kumrudisha kwenye hiyo nafasi yake. Kenya hana sifa ya kwenda.
 
Huyu Bwana si msomali?Atakuwa ameenda kwao kenya kuna wasomali wenzake.Pia kuomba ushauri kwani mbele yake kuna "NGUVU YA UMA"pepoziii
 
Stop poaching

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hawa raia wa nchi nyingine walipewa uraia wakiwa watu wazima lazima waonekane tofauti kwani hawajakulia tamaduni zotu mara wanafurugu,majizi na majangiri.Unaposhutumiwa juu ya jambo fulani unapaswa kuzijibu
 
Akigusa tu tembo wa kule ameliwa, Kenya hawana mchezo, asije dhani ni tz kule
 
Mheshimiwa Abdulrahman Kinana amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya East africa community, kusimamia kamati ya watu 27

Mh Kinana amesema '' wamekuja kenya kutizama shughuliza uchaguzi na sio kusimamia uchaguzi, kenya ina katiba yake ''

Sawa kabisa!! Popote panapohitaji uchakachuzi huyu ndiye bingwa!! Hii ni hazina pekee ya ccm linapokuja suala la WIZI wa kura na meno ya TEMBO,hapo tayari wakenya wameshaumia,eti kinana?????!! Asimamie uchaguzi? Na bado haki itendeke?? Maajabu.
 
Akimalizana kumuweka mtu wanaemtaka!!ataanza lobbying kwa ajili access kuuza meno yake ambayo waliyagomea yasiuzwe!wanalazimisha urafiki ili wakubaliwe kuuza meno yao........yaonekana wana hazina kubwa sana,meno yoote yanayokamatwa wanayachukua wao!mtaijua sasa hela ya uchaguzi inatafutwa kwa nguvu zote
 
Kamati ya EAC ya kusimamia uchaguzi wa Kenya!?
Na IEBC itakuwa inafanya kazi gani???

Nadhani mtoa hoja utakuwa hujakielewa hicho chombo anachokiongoza ivory thug huko nchini Kenya.
 
Speaker wa zamani bunge la EAC Abrahaman Kinana ametajwa kuwa kiongozi wa jopo la waangalizi wa uchaguzi ujao nchini Kenya kutoka nchi wanachama wa EAC.

My take:
Huyu jamaa anatajwa kuhusika na wizi wa nyara za serkali; je, ana-fit hapo?

Chanzo: BBC

JEE Unao ashahidi wowote, kama huna, basi unafanya dhambi na kudhulumu mwanadamu mwenzako, na nadhani wewe unapenda kuwa katika wanao gombe haki za watu. Jee hapa unafanya vizuri
 
Back
Top Bottom