Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,551
- 12,854
actually,Da kweli tumbo mponza tako!!
mwenyewe majukumu na wajibu mbele ya umma hawezi babaika na mambo yaliyokwishafanyika kwa uwazi tena mchana kweupe 🐒
hayo masuala ya pua, sijui tumbo au nini ni mihemko tu isiyo na tija nadhani ni masuala yako binafsi baki nayo 🐒