Kinana ampongeza Lukuvi, Nape amtaka Nyalandu kuacha kutafuta watu wa kumtetea

ni ajabu kuona waziri anawajua majangili na bado hawachukulii hatua yoyote

Hapo tusimlaumu Nyarandu kwani yeye kunasehemu anatakiwa kuripoti na anaye pokea hiyo ripoti hachukui hatua!
 
Mtu anapokuwa mkali eti waziri wa maliasili mbaya~ yaani kajihalalishia kuwa tembo wakwake peke yake.... aende somalia

Na ndiyo maana kinana anamchukia sana dogo Nyarandu kwani biashara sasa haziendi kama kawaida,kweli ccm ni janga la kitafa
 
Mkuu kilaza
Mhe Nyalandu amethibitisha wapi kuwa Mhe Kinana kweli anajihusisha na ujangili? na kama amethibitisha na hachukuliwi hatua basi kuna tatizo kwake Waziri.

Ilipo lamatwa meli yenye meno ya tembo na ikagundulika kuwa mmiliki wake ni kinana,kama taifa lilichukua hatua gani?Wacha nyarandu?
 
Acha unafiki Nyalandu unasubiri nini kuwapeleka mahakamani akina kinana kama umegundua kuwa ni wezi?kuongea bila vitendo haitusaidii yaani unatuboa wananchi.chukua hatua mnyampaa wa singida

Akimpeleka mahakamani kinana nani ataisadia ccm iendelee angalau kupumulia mipira kama sasa?
 
ni ajabu zaidi rais wa nchi kuwajua majangili na kutowachulia hatua yoyote!

Alishasema kuwa ana orodha ya wafanyabiashara ya madawa ya kulevya lakini hadi leo kimya watu wanagonga vyao,pinda akasema ukiwashitaki mafisadi nchi itayumba.
 
ukweli unauma, mmmmmmh...Hon Kinana njoo uku ukanushe. Vinginevyo tutaweka vema
 
Ni ukweli usiopingika kinana ni jangili mkubwa akwa ndiye kiongozi wa mtandao wa wasomali kazi zao ni kubeba meno ya tembo kwenye mafiat. Kinana ni jangili jamani pia ni mwizi kabisa.

Tunawakaribisha vijana wote wa lumumba fc waje hapa tuchangie huu uzi,wako wapi au uzi hausomeki?Msalani,asadsyria,lizaboni,njooni hapa
 
Nyarandu ziba mianya yote yamajangili kuua wanyama akiwemo kinana na ndo maana anakuchukia.usiogope najua utasumbuliwa na hao majangili ila komaa na bahati nzuri meno ya tembo yamepigwa marufuku.

Mkuu wameshapata replacement sasa ni fisi ndio dili
 
Kinana jamhuri inamjua kabisa kwamba ni jangili nambari moja ila kulindana CCM kumezidi
 
wadau kama MNA kymbuka kylukuwa na wimvi kubwa LA kuuwawa kwa tembo katika taiga letu kabla nyalandu hajaingia kwenye wizara ya maliasili na utalii,Leo tunavyoongea uuaji was tembo umepunfua sana kama so kuisha.
na kama mtakumbuka meli ya katibu mkuu was ccm ndg kinana ilikamatiwa uchina na pembe za ndovu na mpaka tunavyoongea hajawahi kukanusha kutomiliku mzigo zaidi ya kusema yeye hakai kwenye meli.
sasa hivi vita vipya alivyoanzisha na waziri aliyefanikiwa kudhibiti ujanguli na utoroshaji was wanyama hai vinaashiria mini?
he uzururaji was nyalandu in UPI?
he hats kama hafanyi kazi barabara kwa ni in waziri pekee ndani ya ccm in mzigo?
he kwenda kusemea kwa lowasa kwani lowada ni waziri?
tumeshtuka kinana nyalandu kakushika pabaya.
shine nyalandu usiachie mpaka aombe po.
 
Back
Top Bottom